Kutokana na maendeleo ya TEHAMA nchini na azma ya Serikali kuendeleza teknolojia ya TEHAMA nchini kwa kuwatambua wataalamu wa tehama nashauri kama ilivyo kwa wahasibu ianzishwe Bodi inayosimamia maendeleo ya sekta hii.
Rais katika hotuba yake ya ufunguzi wa Bunge la 12 ameonnyesha nia ya kuendeleza sekta hii kwa kasi na umakini mkubwa ili teknolojia hii ichangie kwenye maendeleo ya nchi kwa kasi kubwa.
Huu ni ushauri tu.