Ianzishwe kampuni ya mieleka(wrestling) nchini Tanzania

Ianzishwe kampuni ya mieleka(wrestling) nchini Tanzania

SimbaMpole123

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2023
Posts
5,501
Reaction score
4,956
Jamani najua Kuna watu wengi bongo wanapenda mchezo wa mieleka maarafu kwa kampuni ya WWE, Ila mnaonaje na Tanzania ikaanzishwa kampuni ya mieleka.
 
Back
Top Bottom