Ianzishwe Simba halisi, Mo Dewji abaki na Simba yake ya ukoo

Ianzishwe Simba halisi, Mo Dewji abaki na Simba yake ya ukoo

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ni kitu kinachowezekana, hasa katika hali ya sasa, Kucha za Mo zilizojificha zinaonekana hadharani.

Simba original ianzishwe kwa jina la Simba OG, timu ambayo ipo ligi kuu au imepanda inunuliwe kwa bei chee ibadilishwe jina, Mwamwedi abaki na simba yake ya kunyanyasa wafanyakazi.

Kuhusi Pesa za kuendesha club, Azam atatoa bilioni 40 kama alivyowapa yanga, Kila mwezi kuna Milioni 260 😇😇 bado pesa ya viingilio, ada za wanachama, mauzo ya jezi, sponsors, CAF, etc
 
Ni kitu kinachowezekana, hasa katika hali ya sasa, Kucha za Mo zilizojifich zinaonekana hadharani.

Simba original ianzishwe kwa jina la Simba OG, Mwamwedi abaki na simba yake ya kunyanyasa wafanyakazi.
Anzisha. Maneno yanajenga. Ijenge. Ikitakiwa tu 1billion hapo mnaagana
 
Ni kitu kinachowezekana, hasa katika hali ya sasa, Kucha za Mo zilizojifich zinaonekana hadharani.

Simba original ianzishwe kwa jina la Simba OG, Mwamwedi abaki na simba yake ya kunyanyasa wafanyakazi.
Ni upepo tu utapita najua watani hamsemi tena tutapiga kwenye mshono nyinyi ni Mo tu. Hamna jingine ila tuwapongeze tu kwa hili mmejitahidi.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ni kitu kinachowezekana, hasa katika hali ya sasa, Kucha za Mo zilizojifich zinaonekana hadharani.

Simba original ianzishwe kwa jina la Simba OG, Mwamwedi abaki na simba yake ya kunyanyasa wafanyakazi.
Uto...mbona mnahangaika?
 
Kwa maneno rahisi sana ila zikihitajika bilioni 4 za kuendesha team we utatoa sh ngapi
Kuhusi Pesa za kuendesha club, Azam atatoa bilioni 40 kama alivyowapa yanga, Kila mwezi kuna Milioni 260 😇😇 bado pesa ya viingilio, jezi, sponsors, caf, etc
 
Motivation Speaker
Kuendesha Team Siyo Kama Ulivyomwagika Hapo
 
Duh wabongo ni watu wa ajabu Sana! Hivi Mo akiondoka Simba leo, mtoa mara utafaidika na Nini hasa? Washabiki na wanachama mnaongea km mnaweza endesha timu.

Wale wachezaji waliowafikisha Simba hapo mlipo wamemghalimu Mo pesa nyingi Sana! Wanalipwa pesa za kutosha! Jaribuni muone km hamjawalisha wachezaji wenu urojo!
 
Kuhusi Pesa za kuendesha club, Azam atatoa bilioni 40 kama alivyowapa yanga, Kila mwezi kuna Milioni 260 [emoji56][emoji56] bado pesa ya viingilio, jezi, sponsors, caf, etc
Eti unadhani kila timu inapewa hizo hela..? Tafuta ule mkataba wa yanga afu utafute na wa timu kama mbeya city ufananishe afu unawaza miguuni kuipandisha liki toka cha ndimu mpaka ligi kuu isimame stable sio mchezo
 
Wazungu wenye mpira wao walishaona mbali ndio maana wakaanza kubinafsisha vilabu vyao kwa matycoons/mabilionea na vile vilabu ambavyo bado vinamilikiwa na wanachama kama Real Madrid ni matajiri ndio wanaoruhusiwa kugombea nafasi za uongozi.

Kwa mfano Real Madrid huwezi kugombea urais kama huna utajiri usiopungua 135M euros.

Mimi hakuna siku nilifurahi kama siku ile wakina Kilomoni walivyotimuliwa.
 
Manara aanzishe timu yake na mfadhili wake awe Diamond aone kilichowakuta Pan African na Red Star.

Mashabiki Simba hawatoenda kwenye hiyo timu na itakufa natural death. Huyu Prince Drama Manara atuachie timu yetu na aende "akaokotwe " na GSM kama wale wachezaji wa Yanga kabla hajawa "takataka" kama wale waandishi wa habari.
 
Likanjibai lazima tulitimue lituachie timu yetu utapeli wake apeleke africa liyon
 
Simba original ianzishwe kwa jina la Simba OG, timu amayo ipo ligi kuu au imepanda inunuliwe kwa bei chee ibadilishwe jina, Mwamwedi abaki na simba yake ya kunyanyasa wafanyakazi.
Kumbe utopolo unatoa ushauri kwa mabingwa mara nne mfululizo!

Mimi ni Yanga Dam Dam, ile mshahara wa laki 7 mikia walitita aibu aisee

1628388915461.png
 
Back
Top Bottom