Ianzishwe Simba halisi, Mo Dewji abaki na Simba yake ya ukoo

Ianzishwe Simba halisi, Mo Dewji abaki na Simba yake ya ukoo

Hivi kuinunua Club iliyopanda ligi kuu ni kiasi gani? Gharama za uendeshaji Kwa msimu ni kiasi gani? Kadi za uanachama ni kiasi gani?
Nalog off
 
Kuhusi Pesa za kuendesha club, Azam atatoa bilioni 40 kama alivyowapa yanga, Kila mwezi kuna Milioni 260 [emoji56][emoji56] bado pesa ya viingilio, jezi, sponsors, caf, etc
Hujui hiyo 260 haitoshi mishahara, kambi, safari, ulinzi etc?
 
Back
Top Bottom