Theb JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 3,927 Reaction score 7,276 Aug 8, 2021 #21 sky soldier said: 😀 😀 timu ya ligi kuu au iliyopanda inanunuliwa na kubadilishwa jina Click to expand... Toa hela ununue timu iliyopanda ligi kuu uipe jina lako..
sky soldier said: 😀 😀 timu ya ligi kuu au iliyopanda inanunuliwa na kubadilishwa jina Click to expand... Toa hela ununue timu iliyopanda ligi kuu uipe jina lako..
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,717 Reaction score 13,176 Aug 10, 2021 #22 Hivi kuinunua Club iliyopanda ligi kuu ni kiasi gani? Gharama za uendeshaji Kwa msimu ni kiasi gani? Kadi za uanachama ni kiasi gani? Nalog off
Hivi kuinunua Club iliyopanda ligi kuu ni kiasi gani? Gharama za uendeshaji Kwa msimu ni kiasi gani? Kadi za uanachama ni kiasi gani? Nalog off
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Aug 10, 2021 #23 sky soldier said: Kuhusi Pesa za kuendesha club, Azam atatoa bilioni 40 kama alivyowapa yanga, Kila mwezi kuna Milioni 260 [emoji56][emoji56] bado pesa ya viingilio, jezi, sponsors, caf, etc Click to expand... Hujui hiyo 260 haitoshi mishahara, kambi, safari, ulinzi etc?
sky soldier said: Kuhusi Pesa za kuendesha club, Azam atatoa bilioni 40 kama alivyowapa yanga, Kila mwezi kuna Milioni 260 [emoji56][emoji56] bado pesa ya viingilio, jezi, sponsors, caf, etc Click to expand... Hujui hiyo 260 haitoshi mishahara, kambi, safari, ulinzi etc?