Ibada ya kuaga mwili wa TB. Joshua inaendelea muda huu

West Africa hukaa na marehemu hata miezi hawaziki haraka ka huku, Tena huyo Joshua wamemuwaisha mapema Sana. So ni Kama Mila zao usilaumu walokole kwa usichokijua friend
 
Ghanaians and Nigerians wanakaa na maiti hata nusu mwaka. Rafiki yangu alifiwa na mama yake mwezi wa nane, walisubiri hadi December ndio walimzika. Idk kwa nini wanafanya hivyo, labda ni sehemu ya tamaduni zao.
 
Halafu wabongo wasojua mambo wanakurupuka tu kutwokwa na mapovu bila kujua kucheleshwa kuzikwa kwakwe hakuhusiani na lolote lile ndani ya ulokole wala ukristo, Bali ni tabia tu za watu wa western
 
Mila zina nguvu kuliko ukristo?
 
Kumbe hawajamzika adi leo.. wanasubiri nin au wageni waalikwa bado hawajafika
 
Mila zina nguvu kuliko ukristo?
Mila zote na hazitakuja Kwisha duniani RC wenyewe waliingiza Mila za kwao kwenye bible,Mila ni tanaduni tu za watu wa sehemu flani and it has nothing to do with christianity
 
Sorry Mila zipi hizo?? Zilizoingizwa. Maana kwa ninavyojua historia ya uandishi wa Bible kitabu kwa kitabu na mwaka wake.. Mila za RC ziliingizwaje na mwaka gani?? Labda sijaielewa Maana ya Mila.
 
Ndio maana waislamu hawanaga mambo ya kupeana majonzi muda wote,hapo ukute wenye kutumia fursa kama kulisha wafiwa,mc,mtu wa mampambo nk wanatamani msiba ukae hata mwaka ili waendelee kupiga pesa,kufa kufaana
 
Mila zote na hazitakuja Kwisha duniani RC wenyewe waliingiza Mila za kwao kwenye bible,Mila ni tanaduni tu za watu wa sehemu flani and it has nothing to do with christianity
Kitu pekee alichokuja kukifanya kristo ni kuleta utawala wa Mungu nakuondoa utawala wa giza ambao ndo mila pamoja na masheria ya kiyahudi
 
Ghanaians and Nigerians wanakaa na maiti hata nusu mwaka. Rafiki yangu alifiwa na mama yake mwezi wa nane, walisubiri hadi December ndio walimzika. Idk kwa nini wanafanya hivyo, labda ni sehemu ya tamaduni zao.
Mfano kwa familia za kimaskini Uko Ghana ama Nigeria nao pia wanaweza kufanya tamaduni kama iyo ya kukaa na maiti muda mrefu ndani ?
 
Mila zote na hazitakuja Kwisha duniani RC wenyewe waliingiza Mila za kwao kwenye bible,Mila ni tanaduni tu za watu wa sehemu flani and it has nothing to do with christianity
Ingekuwa vyema ukataja kifungu cha Biblia ambacho ni ingizo la mila za RC. Tatizo mlilonalo watoto wa Kiprotestanti ni kwamba mnachosimuliwa na baba zenu basi na ninyi mnaanza kusimulia wengine. Baba zenu walilazimika kuwasimulia ninyi hivyo ili wahalalishe kujitenga kwao
 
Kwa akili za ngwajima ukute alienda kuomba ili afufuke
Hilo haliwezekani marehemu mwenyewe hakufa kizembe alishajua mwisho wake na akaongea kwa kufumba ,kwahiyo mtu mwenye roho wa Bwana ndani yake hawezi kujitaabisha kuomba afufuke wakati unajua unayemuomba ndio alomtwaa mtumishi wake, punguza kula kungu Kama upati matibabu sahihi ona zinavyokutuma kushambulia watu wasio na hatia
 
taratibu.

Unaongelea bwana yupi
 
Halafu wabongo wasojua mambo wanakurupuka tu kutwokwa na mapovu bila kujua kucheleshwa kuzikwa kwakwe hakuhusiani na lolote lile ndani ya ulokole wala ukristo, Bali ni tabia tu za watu wa western
Lakini huwa tunaambiwa na walokole kuwa ukiwa ndani ya Yesu, tamaduni za kibagani hazina nafasi tena, sasa hii ya TB Joshua inakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…