Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kama tabia na tamaduni za kibagani zinaendelea kulindima katikati ya ukristo, nini mantiki ya Yesu kufa msalabani?Halafu wabongo wasojua mambo wanakurupuka tu kutwokwa na mapovu bila kujua kucheleshwa kuzikwa kwakwe hakuhusiani na lolote lile ndani ya ulokole wala ukristo, Bali ni tabia tu za watu wa western
Kweli nashangaa wamemzika na viatu wakati alikuwa hapendi kuvaa viatuIbada inaendelea mda huu wageni toka sehemu mbalimbali duniani wamehudhuria, kwa hapa Tanzania inaonyeshwa kupitia wrm TV ya Chief suguye ambayo inapatikana kwenye kisambuzi cha startimes, tuendelea kufatilia ibada hii ya kusherekea maisha yake.
View attachment 1846705
Tangu jana wameonyeshaJe kwenye TV yake ya Emmanuel TV hawaonyeshi?
Embu tuelezane wapi biblia imeandika mtu akifa azikwe haraka? Kwahiyo ni utashi tu unaotuongoza kwenye kuzika haijarishi utazikwa mapema au late, kwahiyo tuwaachie Nigerians to decide what they want hilo halivunji amri yoyote ndani ya biblia.Lakini huwa tunaambiwa na walokole kuwa ukiwa ndani ya Yesu, tamaduni za kibagani hazina nafasi tena, sasa hii ya TB Joshua inakuwaje?
Duh toka lini mila ikawa dhambi ujue Mila including dressing code, language na vinginevyo so Mila na dhambi ni vitu viwili tofautiKitu pekee alichokuja kukifanya kristo ni kuleta utawala wa Mungu nakuondoa utawala wa giza ambao ndo mila pamoja na masheria ya kiyahudi
Mimi hata siko protestant ila huo ni ukweli ka ibada za sanamu hazikuwepo kwenye bible, na hyo sio RC tu hata Ethiopian church mbona iliingiza vitu vya kitamaduni kwenye taratibu zao za church. Hafu mbona pia makanisa mengi yameingiza agenda za wanadamu.Ingekuwa vyema ukataja kifungu cha Biblia ambacho ni ingizo la mila za RC. Tatizo mlilonalo watoto wa Kiprotestanti ni kwamba mnachosimuliwa na baba zenu basi na ninyi mnaanza kusimulia wengine. Baba zenu walilazimika kuwasimulia ninyi hivyo ili wahalalishe kujitenga kwao
Jaribu kunisoma vizuri hapo.Embu tuelezane wapi biblia imeandika mtu akifa azikwe haraka? Kwahiyo ni utashi tu unaotuongoza kwenye kuzika haijarishi utazikwa mapema au late, kwahiyo tuwaachie Nigerians to decide what they want hilo halivunji amri yoyote ndani ya biblia.
That was a Ghanaian. Somebody OladipoNi kama yule mwandishi wa habari wa BBC walikaa mpaka tukasahau
Akifa mwingine wanasema ni dhambi kulia sana,wanasemaga waache wafu wazike wafu wenzao.Walokole watu wa ajabu sana.Ukifiwa wakija kwenye msiba wako utasikia marehemu ameishakufa hiyo ni mifupa hana connection na chochote mkazike wala hakuna kulia.
Angalia sasa wao yamewakuta mpaka leo bado wanazunguka tu na maiti. Si wangemzika tu siku ile ile maisha yaendelee. Yesu alizikwa siku hiyo hiyo na akafufuka siku ya tatu huyu kakaa mwezi sasa wanaendelea kusujudu mzoga
Arabic cultureNdio maana waislamu hawanaga mambo ya kupeana majonzi muda wote,hapo ukute wenye kutumia fursa kama kulisha wafiwa,mc,mtu wa mampambo nk wanatamani msiba ukae hata mwaka ili waendelee kupiga pesa,kufa kufaana
Nadhani ilitakiwa wewe unayeona si vizuri ndio uje uelezee kuwa kufanya hivyo kuna ubaya na hasara ganiKwa mfano, embu waza tu, kiongozi mkubwa wa kidini kama Tb Joshua kukaa mwezi mzima bila kuzikwa huku waumini wake wakimuombeleza, mantiki yake kikristo ni nini?
Ina faida gani kwa kijamii, kiuchumi au kiimani?