Ibada ya kumtukana shetani

Hivi si tunaambiwa tuwapende adui zetu
 
Hiyo ni njia kongwe ya kuomba, katika historia zamani walitumia njia hiyo katika ibada zao, na kuwaombea watu wenye mapepo, hapo pepo atatukaniwa mpaka babu yake bibi.
kuna ule wimbo unasema "Shetani na mamamkwe wake wamekalia misumari"[emoji3]
 
Hii tunaita utetezi wa kisheria ambazo ni neno laMungu.
Ndio maana tunashauriwa kuomba kupitia kutamka maneno na ahadi za Mungu.
Hapo tunampa Mungu sababu ya kujibu maombi
Upo sahihi 100%. Maana ulimwengu wa roho unaongozwa na taratibu na sheria zake..
 
Walikuwa wanatukana kwa lugha gani mkuu..!?
Au ndio walikuwa wananena kwa lugha.
 
Hao jamaa wana akili sana
 
Hivi Kama Mungu anakataza matusi, leo ukimtusi shetani mbaya wake Mungu, Mungu atakuandikia dhambi ya kutukana?
 
Hii tunaita utetezi wa kisheria ambazo ni neno laMungu.
Ndio maana tunashauriwa kuomba kupitia kutamka maneno na ahadi za Mungu.
Hapo tunampa Mungu sababu ya kujibu maombi
Mungu na amkemee wakusujudiiwa na kuabudiwa ni Mungu peke yake kaamua kujiinua yeye nasema tena Mungu na amkemee
 
Yes...katika hizo sheria pia huwa shetani anatushtaki kwa Mungu tunapozivunja na kuomba uhalali wa kutupiga kwa kuzihalifu.
Hati ya mashtaka ishafutwa pale msalabani..So Kila aaminiye ambaye sasa Ana cheo Cha mwana wa Mungu. Hawezi shitakiwa na shetani. Refer pia Wakolosai 2:13-15.
 
Wakati mwingine unaweza kushangaa, kumbe ni mambo ya kindugu. Acheni wa Shetani wamtukane Ndugu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…