Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wamechanganyikiwa kama wale wa ibada ya kumfagia IbilisiHawajielewi 🤠🤠ðŸ¤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamechanganyikiwa kama wale wa ibada ya kumfagia IbilisiHawajielewi 🤠🤠ðŸ¤
Hivi si tunaambiwa tuwapende adui zetuJana nilialikwa kwenye kanisa moja hapa jijini. Kanisa la watu wa Afrika ya Kati, kulikuwa na ibada maalum ya kumtukana shetani kwa mateso anayowapa wanadamu, aiseee jamaa wanatukana kudadeki.
Sikufanikiwa kumaliza ibada aisee..... kwa kweli sio kila kanisa ni la Kristo
kuna ule wimbo unasema "Shetani na mamamkwe wake wamekalia misumari"[emoji3]Hiyo ni njia kongwe ya kuomba, katika historia zamani walitumia njia hiyo katika ibada zao, na kuwaombea watu wenye mapepo, hapo pepo atatukaniwa mpaka babu yake bibi.
Upo sahihi 100%. Maana ulimwengu wa roho unaongozwa na taratibu na sheria zake..Hii tunaita utetezi wa kisheria ambazo ni neno laMungu.
Ndio maana tunashauriwa kuomba kupitia kutamka maneno na ahadi za Mungu.
Hapo tunampa Mungu sababu ya kujibu maombi
Sio shetani lakini.Hivi si tunaambiwa tuwapende adui zetu
Walikuwa wanatukana kwa lugha gani mkuu..!?Jana nilialikwa kwenye kanisa moja hapa jijini. Kanisa la watu wa Afrika ya Kati, kulikuwa na ibada maalum ya kumtukana shetani kwa mateso anayowapa wanadamu, aiseee jamaa wanatukana kudadeki.
Sikufanikiwa kumaliza ibada aisee..... kwa kweli sio kila kanisa ni la Kristo
Hao jamaa wana akili sanaJana nilialikwa kwenye kanisa moja hapa jijini. Kanisa la watu wa Afrika ya Kati, kulikuwa na ibada maalum ya kumtukana shetani kwa mateso anayowapa wanadamu, aiseee jamaa wanatukana kudadeki.
Sikufanikiwa kumaliza ibada aisee..... kwa kweli sio kila kanisa ni la Kristo
Shetani siyo adui..!?Sio shetani lakini.
Biblia katika kitabu ya Yuda inasema tumpinge shetani naye atatukimbia hivyo huyo sio adui wa kumpenda
Afadhali waliondoa donge lililowakwama kooniHao jamaa wana akili sana
KiswahiliWalikuwa wanatukana kwa lugha gani mkuu..!?
Au ndio walikuwa wananena kwa lugha.
SadSuguye baada ya kumaliza Ibada ya kucha na nywele season 1-5 pale Kivule sasa yuko Arusha kama unavyoona
View attachment 2361767
Kuna watu malofa jamani
Hata kukemea pepo la tozo ilikushinda mkuu?Mimi sio mtukanaji ndio maana niliondoka kabla ibada haijaisha
Mungu na amkemee wakusujudiiwa na kuabudiwa ni Mungu peke yake kaamua kujiinua yeye nasema tena Mungu na amkemeeHii tunaita utetezi wa kisheria ambazo ni neno laMungu.
Ndio maana tunashauriwa kuomba kupitia kutamka maneno na ahadi za Mungu.
Hapo tunampa Mungu sababu ya kujibu maombi
Nimekemea kichizi, leo naona Mwigulu Nchemba anatokota mu kinywaHata kukemea pepo la tozo ilikushinda mkuu?
Hati ya mashtaka ishafutwa pale msalabani..So Kila aaminiye ambaye sasa Ana cheo Cha mwana wa Mungu. Hawezi shitakiwa na shetani. Refer pia Wakolosai 2:13-15.Yes...katika hizo sheria pia huwa shetani anatushtaki kwa Mungu tunapozivunja na kuomba uhalali wa kutupiga kwa kuzihalifu.
Shetani siyo adui..!?
Kasema sio adui wa kumpenda. Kutoka kwenye context ya kumpenda adui yako as the teachings refer,kwamba mpende adui yako,hapa adui yako ilimaanisha binadamu mwenzako,anastahili upendo wako hata Kama kakukosea. Shetani NI adui na si mwenzetu hastahili upendo wetu.Shetani siyo adui..!?