Ibada za mwezi mtukufu wa Ramadhani zazuiliwa katika msikiti wa Jerusalemu (Al-Aqsa) kutokana na mlipuko wa Covid-19

Ibada za mwezi mtukufu wa Ramadhani zazuiliwa katika msikiti wa Jerusalemu (Al-Aqsa) kutokana na mlipuko wa Covid-19

Msikiti wa Al-Aqsa wa Jerusalem utafungwa kwa waumini wa dini ya kiisalmu katika mwezi mzima wa Ramadhani kwa sababu ya janga la coronavirus, viongozi wa Kiislamu walisema jambo hili siku ya Alhamisi.

Aidha, inaelezwa kuwa kwa kawaida Mwezi wa Ramadhani huwa na waumini wengi sasa katika msikiti huo ambapo kwa mujibu wa Imani ya Kiisalmu inaaminika huo ni msikiti mtakatifu ambao Nabii Muhamad alipaa kutokea hapo kwenda Mbinguni.

Zaidi ya hayo, "waislamu wamehimizwa kufanya ibada zao wakiwa majumbani mwao ili kuhifadhi usalama wao" baraza lilisema.

Ramadhani inatarajiwa kuanza mnamo Aprili 23.

View attachment 1421445
Msikiti wa Al Aqsa uliopo Jerusalem

ZAIDI SOMA
Jerusalem’s al-Aqsa mosque compound will be closed to Muslim worshippers throughout the holy fasting month of Ramadan due to the coronavirus epidemic, Muslim clerics at Islam’s third-holiest site said on Thursday.

Ramadan typically draws tens of thousands of Muslims daily to the mosque and the adjoining Dome of the Rock for evening prayers known as Taraweeh. Muslim faithful believe the site to be where the Prophet Mohammad ascended to heaven.

The decision to ban Muslim prayer at the 35-acre complex, revered by Jews as the Temple Mount and site of the Jewish temples of antiquity, extends a March 23 ban on Muslim prayer there.

In a statement, the Jordan-appointed council that oversees Islamic sites on the sacred compound called the decision “painful” but said it was “in line with legal fatwas (clerical opinions) and medical advice”.

Muslims should “perform prayers in their homes during the month of Ramadan, to preserve their safety,” the council said.

Ramadan will start around April 23.

In one sign of normalcy, the Muslim call to prayer will still take place five times daily at the site during Ramadan, and religious workers will still be allowed entry, the statement added.

Jerusalem has sites sacred to Judaism, Christianity and Islam, and all three religions have taken coronavirus precautions.

Last week, Jews marking Passover in Jerusalem and across Israel were required to stay at home and celebrate only with immediate family.

Typically large Passover prayers at Jerusalem’s Western Wall, the holiest place Jews are allowed to pray in the city, were attended by only a handful of worshippers.

At the Church of the Holy Sepulchre, what are usually festive, pilgrim-filled Easter ceremonies at the shrine revered as the site of Jesus’ crucifixion and burial have been marked by small groups of clergy, often wearing face masks.

Israel has reported at least 140 deaths and nearly 12,600 cases of coronavirus. There have been two deaths and nearly 300 cases in the Palestinian Gaza Strip and the Israeli-occupied West Bank.

All mosques in Gaza have been closed since March 25, and since March 14 in the West Bank.

CITIZEN


Uislamu ni imani ya kuunga unga sana . Yaani kusema alikwenda kuchukua swala tano kupitia hapo ukisoma kisa hicho utaamini ni ndoto za abunuasi.
 
Uislamu ni imani ya kuunga unga sana . Yaani kusema alikwenda kuchukua swala tano kupitia hapo ukisoma kisa hicho utaamini ni ndoto za abunuasi.
Kwani haiwezekani mkuu?,kumbuka umbali wa Hapo na mecca Ni Kama utoke dar kwenda Moro,Safari ya masaa tu
 
Kwani haiwezekani mkuu?,kumbuka umbali wa Hapo na mecca Ni Kama utoke dar kwenda Moro,Safari ya masaa tu
Ila mwenyezimungu kuwashushia wana Israel chakula kutoka mbinguni na kuwavusha bahari ya shamu uliyaamini vipi,ila unaenda amini Yesu alishushiwa kipondo msalabani ili usamehewe dhambi unazofanya leo jenga hoja kijana ili upate uelewa
 
Kwenye kumuamini Mungu tu na kuwaachia dini zao umefanya la maana
Hizi dini zote nishawahi ziishi na nazijua vema na nimefika mahalii namwamini tuu Mungu ila staki dini kabisa...
Ila nakushauri nawe uache mihemko maana hapa umejibu bila kujua umekurupuka tuu . Ungesoma vizuri zaidi ya hapa ndo ungejua huko kupaa kukoje na ilikuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom