Ibaki Story: Ngoma Mbovu kuliko zote WCB


Sorry unaweza kunitajia nyimbo mbili za mwisho alizotoa Mavoko? Naomba majina ya hizo nyimbo
 

Acha hizo bana nitumie nyimbo hata moja ambayo Mavoko ameimba ipo kama hiyo...nipe hata moja tu hapo amepotea sanaaa na hiyo yote ni zengwe na mchezo mchafu amefanyiwa ili aishi kimziki...
 
Sorry unaweza kunitajia nyimbo mbili za mwisho alizotoa Mavoko? Naomba majina ya hizo nyimbo

Angalia Rich Mavoko - Pacha wangu alafu angalia na Rich Mavoko - Marry me na zaidi kuna hii ameshirikishwa na Matonya feat Rich Mavoko - Mule mule hizo naweza kusema latest kidogo je unaweza kufananisha na huo ameachia jana tuache ushabiki tuongee vitu vya ukweli
 
Nafikiri wewe sio fan wa Rich, ametoa nyimbo mbili kabla ya kujiunga Wasafi na zote hazi kufanya vizuri. Wimbo wake wa mwisho kufanya vizuri ni pacha wangu baada ya hapo akawa anatoa lakini haziskiki mfano Naimani. Huu wimbo ni mzuri mno siku ukiusikiza bila kulinganisha na chochote utaupenda sana
 

Huo wimbo mzuri je ametoa video yake??na umefatilia hasaa history huo wimbo jinsi ulivyo hit na unajuwa hasaa aababu za kuto hit??nina maswali mengi ya kukuuliza ndio maana sikuutaja sio kama shabiki...anyway zaidi ya yote huo wimbo umenitumia utafananisha na wa jana??
 
Hii nyimbo ina uandishi mzuri na ujumbe..

Mkuu kwa mziki wa bongo watu wanafata uandishi mzuri??basi boss wake si angekuwa anatoa nyimbo za maandishi mazuri si ndio??ofcoz ina ujumbe Naomba kidogo pitia wimbo wa Uswazi feat Rich Mavoko Nakosa imani sikiliza kidogo
 
Wimbo kauimba kwenye key za chini tofauti na alivyokuwa anafanya nyuma.

Wimbo umepoa, Rich mwenyewe kapoa hata kwenye video hajachangamka.
 

Ili kuupoteza "aje" ni lazima zitolewe nyinginyingi
 

Sikulaumu unaonekana wewe mgeni humu ndani kaa tulia na pitia thread hapa jukwaa la celebrity utapata majibu yako uliyouliza
 
Nyimbo mbaya sitaki hata kuisiliza walau Mara moja
 


Mkuu ukiangalia kwa makini nimeandika mwishoni kwamba simfahamu vizuri....ila kwa upande wa sasa hivi nimetolea mfano hapo hapo anaweza kuimba nyimbo zake kama kawaida kumzidi boss wake??bila mashabiki kimziki utafika wapi??Mashabiki ndio kila kitu kwenye hii industry....Zaidi nilichosemea kimziki yupo vizuri hakuhitaji management yoyote...zaidi alihitaji manager mzuru anayejua anachofanya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…