Ni kweli hii nyimbo ni mbaya kupitiliza ndio maana kila muda nairudia kuisikiliza na kuiangalia sababu kaimba kwasababu yetu sisi tunaoenda vibaya,yaani wcb nyimbo zao mbaya ndio maana nazipenda,siku wakiimba nyimbo nzuri kama za ally kiba tuu naanza kuwachukia,sipendi nyimbo za ally kiba sababu nzuri,mimi nimezaliwa kupenda vitu vibaya tuu,asante mavocal na wenzako wote wa wasafi imbeni hivyo hivyo vibaya,waache wao waimbe vizuri alafu mafanikio yatawaumbua,