Ibaki Story: Ngoma Mbovu kuliko zote WCB

Ibaki Story: Ngoma Mbovu kuliko zote WCB

dah.... yani ninavyozidi sikia wimbo huu... nazidi pata vionjo vikaali na maumivu mazito kwa walowahi tendwa....


aisee.... wimbo mkali mnoo. MTOA MADA KUFUTA KAULI SI DHAMBI....


Wimbo huu ni bora na ni number one sasa kwa msg ya brokenhearted.
 
Ni kweli hii nyimbo ni mbaya kupitiliza ndio maana kila muda nairudia kuisikiliza na kuiangalia sababu kaimba kwasababu yetu sisi tunaoenda vibaya,yaani wcb nyimbo zao mbaya ndio maana nazipenda,siku wakiimba nyimbo nzuri kama za ally kiba tuu naanza kuwachukia,sipendi nyimbo za ally kiba sababu nzuri,mimi nimezaliwa kupenda vitu vibaya tuu,asante mavocal na wenzako wote wa wasafi imbeni hivyo hivyo vibaya,waache wao waimbe vizuri alafu mafanikio yatawaumbua,
 
Ni sehem moja tu ambako wameshare location na harmonizer alchokosea kaa vaa na red eneo lilelile
 
Back
Top Bottom