[QUOTE="habari ya hapa, post: 19180086, member: 114221"kuileta kuonyesha weupe wako kichwani, hili jukwaa hili linaheshimika sana, hapakuwahi kuwa na mtu kama huyo. Mwambie aliekudanganya akwambie vizuri. Eti nabii ambaye hakuwahi kuandikwa.. Seriously?[/QUOTE]
sasa kati yangu na wewe nani anaonyesha uweupe wa kichwa chake?
Bujora, Mwanza kituo cha makumbusho ulishawahi kupasikia ukiacha kufika?
au umekuja mbio kisa umesikia nabii huyu alitenda miujiza kuliko Mohamed na nabii wako unayemwabudu?
nakuagiza nenda Bujora, utapata mengi kuhusu nabii huyu na wengine km Ng'wanamalundi nk[/QUOTE]
Sibishani kidini nimejibu kutokana na hoja yako dhaifu kuileta hapa. Hatujawahi kusoma wala kupata tetesi popote pale kuwepo kwa mtu au nabii wa aina hiyo. Waliokuingiza chaka acha wakuingize hata Makumbusho ya Taifa hakuna kitu kama hicho.
Umeshindwa kutetea hoja unaanza kuingiza imani za watu. Muhammad alitabiriwa na Mungu sio huyo ambaye hujui hata alichowahi kukifanya. Udhaifu wako na kutokuelewa kwako kumefanya udanganywe na wasiojua kama wewe.
Jifunze na jiamini kabla hujaaminiwa. Udini hautakusaidia Bibie