Ibara ya 105,rasimu ya katiba.

Ibara ya 105,rasimu ya katiba.

Abel kaholwe

Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
10
Reaction score
0
(1) kutakuwa na bunge la jamhuri ya muungano,
(2)wajumbe WA bunge watakuwa WA aina zifuatazo:
a)wabunge waliochaguliwa kuwakilisha majimbo ya uchaguzi
b)wabunge watano watakaoteuliwa na raisi kutoka miongoni kwa watu wenye sifa ZA kuwa wabunge kuwakilisha watu wenye ulemavu kwa kuzingatia uwiano wa washirika WA muungano.
3)kwa mujibu wa ibara ya 2(a),kila mkoa kwa upande WA Tanzania bara na wilaya kwa upande WA Zanzibar itakuwa NI jimbo la uchaguzi.
4)katika kila jimbo kutakuwa na nafasi mbili za ubunge,moja kwa ajili ya wanawake na moja wanaume
5)wabunge wote watapatikana kwa kupigiwa kura na wananchi.

###tuko tayari?
 
Back
Top Bottom