GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na kwa tuliobahatika kidogo kuishi / kukaa na akina Bandeko Nangai (Wakongo kutoka DRC) hawa Jamaa unachokiona Nyusoni Kwao sicho kilichopo Mioyoni Mwao.
Unaweza kuwa nae katika Dili (kama la nisaidie nipite) halafu ukampa Hela na akakuahidi kabisa kuwa hakuna wasiwasi ila baadae Shughulini (nisaidie nipite) akakugeuka kabisa kama vile hamkukubaliana na ukajuta.
Wakongo si Watu wa Kuwaamini kabisa.