Mr Alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 273
- 765
Vigogo wa Klabu ya simba wameweka jina la Florent Ibenge kama mrithi sahihi wa kocha aliye ondoka ndani ya timu Yao Abdelhak Benchika.
Ibenge mshindi wa CAF Confederation Cup na mwana fainali ya CAF Champions League Kwa sasa ana inoa Al Hilal Omdurman ya SUDAN.
Mabosi wa Simba Sports Club Wana hitaji kocha mwenye profile iliyoshiba haswaa hapa Afrika ndiyo maana wame muweka Florent Ibenge kama chaguo lao namba moja.
Simba watawapa mkono wa kwaheri baadhi ya wachezaji Ili kuanza kusuka Kikosi kipya Cha maangamizi. Kumbuka Ibenge ni Moja ya makocha wenye uwezo mkubwa wa kutengeneza timu ya kushindana Kwa muda mrefu.