Tetesi: Ibenge kutua Simba kuchukua nafasi ya Benchika

Vigogo wa Klabu ya simba wameweka jina la Florent Ibenge kama mrithi sahihi wa kocha aliye ondoka ndani ya timu Yao Abdelhak Benchika.

Ibenge mshindi wa CAF Confederation Cup na mwana fainali ya CAF Champions League Kwa sasa ana inoa Al Hilal Omdurman ya SUDAN.

Mabosi wa Simba Sports Club Wana hitaji kocha mwenye profile iliyoshiba haswaa hapa Afrika ndiyo maana wame muweka Florent Ibenge kama chaguo lao namba moja.

Simba watawapa mkono wa kwaheri baadhi ya wachezaji Ili kuanza kusuka Kikosi kipya Cha maangamizi. Kumbuka Ibenge ni Moja ya makocha wenye uwezo mkubwa wa kutengeneza timu ya kushindana Kwa muda mrefu.
ha ha kwa mshahara upi?
 
Hii timu haihitaji mtu wa nje Mgunda angeweza ijenga km alivyofanya Nabi yanga then ndio wamlete wanaemtaka ila wanavyofanya sasa hata mwakani kutakua hakuna jipya timu bado inahitaji marekebisho toka kiungo kwenda mbele msingi kwenye defence upo tayari ilakule mbele hakuna muunganiko wa maana
 
Ibenge ni bonge la kocha lakini tabia za viongozi wa Simba chini ya rais wake wa heshima zitavuruga CV ya kocha huyo
 
Viongozi WA Simba tangia waanze kuwalawiti baadhi ya watu wamekuwa wajinga sana
 
Makocha wote ambao Simba imeafukuza kuanzia na Pablo ni makocha wazuri sana, walipoondoka Simba wakaenda kufanikiwa sana labda kasoro Robertinho ndiye bado hajajipanga upya tena.

Tatizo kubwa la Simba ni uswahili mwingi na Janja janja. Barbara alikuwa amekata uswahili na janja janja yote timu ikasonga mbele sana. Mpaka sasa akipatikana kiongozi asiyekuwa mswahili na janja janja, Simba itakuwa tishio tena kwa Azam, Prisons na Namungo.
Aisee umemalizia kikatili sana aisee, Simba ibadili na uongozi, uswahili ni mwingi sana pale.
 
Vigogo wa Klabu ya simba wameweka jina la Florent Ibenge kama mrithi sahihi wa kocha aliye ondoka ndani ya timu Yao Abdelhak Benchika.

Ibenge mshindi wa CAF Confederation Cup na mwana fainali ya CAF Champions League Kwa sasa ana inoa Al Hilal Omdurman ya SUDAN.

Mabosi wa Simba Sports Club Wana hitaji kocha mwenye profile iliyoshiba haswaa hapa Afrika ndiyo maana wame muweka Florent Ibenge kama chaguo lao namba moja.

Simba watawapa mkono wa kwaheri baadhi ya wachezaji Ili kuanza kusuka Kikosi kipya Cha maangamizi. Kumbuka Ibenge ni Moja ya makocha wenye uwezo mkubwa wa kutengeneza timu ya kushindana Kwa muda mrefu.
Awe makini kwenye mkataba, aweke sharti kwamba Kufungwa na Yanga kamwe kusiwe sababu ya Kufukuzwa. Maana hawachelewi!
 
Back
Top Bottom