Tetesi: Ibenge kutua Simba kuchukua nafasi ya Benchika

ha ha kwa mshahara upi?
 
Hii timu haihitaji mtu wa nje Mgunda angeweza ijenga km alivyofanya Nabi yanga then ndio wamlete wanaemtaka ila wanavyofanya sasa hata mwakani kutakua hakuna jipya timu bado inahitaji marekebisho toka kiungo kwenda mbele msingi kwenye defence upo tayari ilakule mbele hakuna muunganiko wa maana
 
Ibenge ni bonge la kocha lakini tabia za viongozi wa Simba chini ya rais wake wa heshima zitavuruga CV ya kocha huyo
 
Viongozi WA Simba tangia waanze kuwalawiti baadhi ya watu wamekuwa wajinga sana
 
Aisee umemalizia kikatili sana aisee, Simba ibadili na uongozi, uswahili ni mwingi sana pale.
 
Awe makini kwenye mkataba, aweke sharti kwamba Kufungwa na Yanga kamwe kusiwe sababu ya Kufukuzwa. Maana hawachelewi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…