IBILIS Hufungwa Mwezi huu | Kwaninii Watu Hufanya Dhambi Wakati IBILIS Kafungiwa?

IBILIS Hufungwa Mwezi huu | Kwaninii Watu Hufanya Dhambi Wakati IBILIS Kafungiwa?

Haswaa! Huu ndio ukweli. Lakini shetani anaweza kuumbika kwenye akili za watu kutokana na mafundisho mabaya hata kufikia mahali mtu akaota kuwa Kumuona shetani au mungu kumbe ni mind yake tu imeumba hivyo.

Shukrani mkuu nimependa sana maoni yako :thumbup:
 
Shetani hawezi kujifunga,huyo mnayemuita allah jina lingine ni jini subiani
 
Maelezo yako yanataja kuwa IBLIS aliasi akafukuzwa mbinguni.ADAM na HAWA pia waliasi wakafukuzwa mbinguni.SWALI:Mbona Adam na Hawa walionekana na Iblis haonekani?

Jibu:Adam na Hawa waliumbwa waishi duniani.Hawakuwahi kuishi mbinguni.Walikuwa wanaishi ktk Bustani ya Edeni.Walipoasi walifukuzwa kutoka bustanin na Mungu akaweka Upanga wa MOTO na makerub mlango wa kuingilia bustan ili wasiingie tena.Wakaanza kuishi mashariki ya Bustani.Bustani ya edeni ilikuwa na mito ambayo ipo hapa duniani hadi leo. SOMA Mwanzo sura 2 na ya 3.


Msaada mkuu.nitajie ilipo na majina iliyopewa kwa sasa.
 
Hadithi yako haitofautiani na zile za kina zamani palikuwa na fisi na sungura yani cjui kwann watu leo hawaamini kuwa wanyama zamani walizungumza ila tu wanaamini mambo ya kina adam na hawa? Zote ni myths tu
 
Back
Top Bottom