Maelezo yako yanataja kuwa IBLIS aliasi akafukuzwa mbinguni.ADAM na HAWA pia waliasi wakafukuzwa mbinguni.SWALI:Mbona Adam na Hawa walionekana na Iblis haonekani?
Jibu:Adam na Hawa waliumbwa waishi duniani.Hawakuwahi kuishi mbinguni.Walikuwa wanaishi ktk Bustani ya Edeni.Walipoasi walifukuzwa kutoka bustanin na Mungu akaweka Upanga wa MOTO na makerub mlango wa kuingilia bustan ili wasiingie tena.Wakaanza kuishi mashariki ya Bustani.Bustani ya edeni ilikuwa na mito ambayo ipo hapa duniani hadi leo. SOMA Mwanzo sura 2 na ya 3.