Nasema katika jina la yesu mwana wa adamu aliyehai, akashushe mkono wake mtakatifu kwa wale wote wenye tabia kama hizi. nakemea katika jina la bwana wa mabwana, atuepushe na tamaa hizi zilizokithiri katika hii dunia. tunaomba atusamehe kwa yale yote tuliyoyatenda na akatakase dunia hii iliyojaa maovu ya kila aina.
Bwana asifiwe sana....
Pia tunamuomba Mungu wetu mkuu akapate kuwajalia mabinti zetu ambao siku hizi wamekua kama nyama tamu inayowindwa kwa nguvu na mnyama mkali..ukapate kuwajaza nguvu na kuwalinda na matukio makubwa kama haya ya kibazazi wakapate kuishi maisha mazuri na yanayokupendeza, baba wa mbinguni tunakuomba pia ukawajalie afya njema na kuwaangazia mwanga katika maisha yao...
Bwana asifiwe sana...
Tunakuomba ukatupe nguvu ya kushindana na ibilisi..ambaye ndio chanzo cha haya yote, ili tuweze kuepuka na tamaa kama hizi...akashindwe katika jina la Yesu, pia tunakuomba utuepushe na pepo wa baya na nguvu zote za giza, zinazofanya hata uweze kum-fataki au kumbaka mwanao....!! katika jina la Yesu...
AMEN
za asubuhi jamani..samahani ilibidi nianze na sala
1. Anatakiwa kulaumiwa kwa sababu alitakiwa kushinda hilo jaribu na ni tabia mbaya kumbaka mwanao.
2. Mke wake kama yupo lazima naye alaumiwe, inawezekana jamaa alikuwa hapati kabisa ile service.
3.Kuna jamaa namwamini kabisa, lakini mkewe akatoka na house boy wake, tatizo, jamaa akifika home, utafikiri ndoo ofisini, order kwenda mbela, jamani tumepewa hivi vitu tugawane, bila gharama, .
nawakilisha
imetulia iyo yani mtu unakula ki2 roho inapenda.. kala mayai yake mwenyewe bila kuibiwa
Umri wake + 30 = Atafia jela tu.