Ibilisi alinizidi nguvu nikambaka binti yangu jamani nisameheni....

Ibilisi alinizidi nguvu nikambaka binti yangu jamani nisameheni....

Nasema katika jina la yesu mwana wa adamu aliyehai, akashushe mkono wake mtakatifu kwa wale wote wenye tabia kama hizi. nakemea katika jina la bwana wa mabwana, atuepushe na tamaa hizi zilizokithiri katika hii dunia. tunaomba atusamehe kwa yale yote tuliyoyatenda na akatakase dunia hii iliyojaa maovu ya kila aina.
Bwana asifiwe sana....
Pia tunamuomba Mungu wetu mkuu akapate kuwajalia mabinti zetu ambao siku hizi wamekua kama nyama tamu inayowindwa kwa nguvu na mnyama mkali..ukapate kuwajaza nguvu na kuwalinda na matukio makubwa kama haya ya kibazazi wakapate kuishi maisha mazuri na yanayokupendeza, baba wa mbinguni tunakuomba pia ukawajalie afya njema na kuwaangazia mwanga katika maisha yao...
Bwana asifiwe sana...
Tunakuomba ukatupe nguvu ya kushindana na ibilisi..ambaye ndio chanzo cha haya yote, ili tuweze kuepuka na tamaa kama hizi...akashindwe katika jina la Yesu, pia tunakuomba utuepushe na pepo wa baya na nguvu zote za giza, zinazofanya hata uweze kum-fataki au kumbaka mwanao....!! katika jina la Yesu...

AMEN

za asubuhi jamani..samahani ilibidi nianze na sala

Amina ... na Tunamshukuru Mungu
 
1. Anatakiwa kulaumiwa kwa sababu alitakiwa kushinda hilo jaribu na ni tabia mbaya kumbaka mwanao.
2. Mke wake kama yupo lazima naye alaumiwe, inawezekana jamaa alikuwa hapati kabisa ile service.
3.Kuna jamaa namwamini kabisa, lakini mkewe akatoka na house boy wake, tatizo, jamaa akifika home, utafikiri ndoo ofisini, order kwenda mbela, jamani tumepewa hivi vitu tugawane, bila gharama, .

nawakilisha

Mke mjamzito kwa hiyo inawezekana anachoka. Jamaa alitakiwa awe mvumilivu
 
hivi tuongee ukweli kuna matendo mengine hata ibilisi hafeel proud anaogopa na kuogopa, pengine huko alisema mungu wangu duh
 
laana hizo na tamaa zilizozidi mipaka, safi sanaa mheshimiwa hakimu kwa kusimamia sheria
 
Ibilisi b*** s**t!
Ibilisi akikuzidi, chua.
Sio kwenda kubaka mtoto wako. Baba mzima kama beberu lisilojua yupi mama na yupi binti.
Dawa ya wabakaji ni ndogo sana, wahasiwe ili ibilisi ashindwe na kulegea.
 
Back
Top Bottom