Ibilisi ametia nanga Velvet club Sinza

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Hatimaye vacation yangu ndani ya Dasalamu imeharibika rasmi na kuingia nuksi baada ya kujichanganya na kukanyaga Velvet club Sinza!

Muhudumu anakuja kukusikiliza huku anakuletea nyonyo kifusi zimazima usoni. Kisha mkwanja wa bili unatakiwa uuchopeke katikati ya mtindi.

Mbaya zaidi na lililonifikirisha ni kauli za wahudumu mlangoni ukiwa unaondoka , utasikia "dady ake mbona mapema au tukupeleke mahakama ya “choo kikubwa” nako ukainjoy?"

Haki ya Mungu Dasalama sirudi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…