Nimeondoka kwa speed Kali sana kaka , sasahivi Niko kwanja inaitwa pori poa salasalaSema madenu wa hapo wamechakaaa ni tetenasii tupu pale, siwezi kula manzi ya pale
Siku gani ndio kunanoga zaidi?! wkiendi nipo daslamu niendeHatimae vacation yangu ndani ya dasalamu imeharibika rasmi na kuingia nuksi, baada ya kujichanganya na kukanyaga Velvet club sinza!.
Muhudumu anakuja kukusikiliza huku anakuletea nyonyo kifusi zimazima usoni .Kisha mkwanja wa bili unatakiwa uuchopeke katikati ya mtindi.
Mbaya zaidi na lililonifikirisha ni kauli za wahudumu mlangoni ukiwa unaondoka , utasikia " dady ake mbona mapema au tukupeleke mahakama ya choo kikubwa nako ukainjoy?" .
Haki ya Mungu dasalama sirudi .
Alhamis- jumamos kaka, nenda na kakutane malaika wa kuzimuSiku gani ndio kunanoga zaidi?! wkiendi nipo daslamu niende
Oya we dasalamu huondoki, utakuwa unahama tu viwanja 😅Nimeondoka kwa speed Kali sana kaka , sasahivi Niko kwanja inaitwa pori poa salasala
Watu wamechafukwa kabisaMna ujasiri
Kwenye moja na mbiliStability 😅😅😅😅😅
Huyu aliona uzi kuhusu velvet so alipofika Dar cha kwanza akajihakikishie kama kweli?Wapi uliko toka mpaka ukajikuta sinza?
Au ulishuka hapo kimuujiza?
Asante mkuu nmefika balaa ni zitoAlhamis- jumamos kaka, nenda na kakutane malaika wa kuzimu
Kwa hiyo ni mahakama ya raha tutabata na mahakama wapi na wapi 😀😀labda kinyerezi huko huku kwingine ni raha tu
ewaaaKwa hiyo ni mahakama ya raha tu
Mbona ishafungwaHatimaye vacation yangu ndani ya Dasalamu imeharibika rasmi na kuingia nuksi baada ya kujichanganya na kukanyaga Velvet club Sinza!
Muhudumu anakuja kukusikiliza huku anakuletea nyonyo kifusi zimazima usoni. Kisha mkwanja wa bili unatakiwa uuchopeke katikati ya mtindi.
Mbaya zaidi na lililonifikirisha ni kauli za wahudumu mlangoni ukiwa unaondoka , utasikia "dady ake mbona mapema au tukupeleke mahakama ya “choo kikubwa” nako ukainjoy?"
Haki ya Mungu Dasalama sirudi .
unawadanganya na kuwapotosha binadamu wenzako ambao wataacha kila sent hapoHapo ni pazuri ukiwa umevuna hela za mazao unakuja kuhesabia hapo kabisa