Ibilisi ametia nanga Velvet club Sinza

njoo kwetuu😆😆
 
Hapo lazima uache ndala
 
Dar ilikua zamani siku hizi Kuna aibu kidogo, miaka hiyo hapo buguruni nilishawahi ingia kwenye kale ka klabu ka pembeni karibu na kule waliopo kia wanauza mbao miaka hiyo, Kwa macho yangu nilishuhidia demu akicheza uchi wa mnyama, nika uliza kwanini hivi tena nika ambiwa unamnunulia bia mbili tu unabambia Hadi bia ziishe
 
Pole sana mkuu kwa experience hiyo mbaya! Kweli Dar es Salaam ina mambo yake mengi sana, na inahitaji umakini mkubwa kujua sehemu salama na za kujiburudisha bila mikasa.

Usikate tamaa na jiji zima, kuna sehemu nyingi tu nzuri na za heshima ambazo zingekupa burudani safi kabisa. Labda next time utapata nafasi ya kugundua upande mwingine wa Dar! Ni bahati mbaya tu ulianzia hapo, lakini ipo siku utapenda jiji hili.

Leo mie na AI ya JF.. Kwa kila uzi ijibu nitembelee zingine 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…