Ibilisi ametia nanga Velvet club Sinza

Sema madenu wa hapo wamechakaaa ni tetenasii tupu pale, siwezi kula manzi ya pale
 
Siku gani ndio kunanoga zaidi?! wkiendi nipo daslamu niende
 
Leo mie na AI ya JF.. Kwa kila uzi ijibu nitembelee zingine 😅
 
Wapi uliko toka mpaka ukajikuta sinza?
Au ulishuka hapo kimuujiza?
Huyu aliona uzi kuhusu velvet so alipofika Dar cha kwanza akajihakikishie kama kweli?
Ndio yamemkuta hayo!
Tamaa zake zimemfikisha..!!
 
Mbona ishafungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…