Ibilisi wa ngono safarini..

Mkuu kweli DSM Tanga ni safari fupi,lakini nikutokana na muda niliosafiri,jioni baada yakutoka office, kumbuka Jana ijumaa,all week nilikuwa busy.Masaa6 kukaa tu ktk Bus lazima uchovu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tajir mpole uko right lakn kwan lazma kusimam masaa yote c uinuke kidogo unyooshe miguu mle mle kwenye bas. Kuna sku nilienda bukoba kupitia kahama kuna muda nilikua nasimama na kutembea tembea. Jamaa walikua wanajifanya kumaind nkawaambia hii ni kutokana na afya yangu siwez kuutesa mwili wangu niacheni[emoji23]
 
Sahihi mkuu...Basi nikirudi tafanya kazoezi hako[emoji1] [emoji1] [emoji1] .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siokweli kiongozi,kuna wengine wanagharamia mpaka Hotel wao mwenyewe na hata chakula njiani ukitaka kulipia wanakataa wanatoa wao pesa.Mfano mzuri huyu Dada wa Jana alionekana yupo vizuri kiuchumi zaidi ya kijana yule na Dada ndie ameelekeza tax hotel yakwenda(Dolphin)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muwasilisho huu
Hii stori ni ya kwako 100%
Tunasubiria kilichofuata baada ya kuchukua tax na kuelekea kunako stahili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikutana na tukio kama. Lako... Nilipanda bus Toka Arusha saa 6..bus la mchana kwenda dsm.
Jamaa Toka Arusha alikua Ana chat na mkewe kwenye iPad.... Hali ilibadilika pale segera baada ya wadada wawili wa kitanga kupanda bus mishale ya saa Tatu usiku... Mmoja Akakaa na jamaa...
Baada ya nusu saa Wali anza kuchangamkiana jamaa akazima na iPad yenyewe.. Akakata communications na mkewe... Akawa busy na Dada...
Tulikua tuko seats za back bench (nyuma) ya bus kabisa.. Na bus hili halikua na abiria wengi... So usiku taa huwa zinazimwa kasoro za TV ya bus tu..
Huwezi amini maeneo ya kabuku na wami jamaa alikua ananyonywa dushelele yake na huyu mdada.... Me nilishuka mbezi mwisho sijui walivyofika ubungo saa Sita usiku ilikuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulijuaje kama alikuwa anachat na mkewe?
 
Hapo kunachembechembe za wivu kwani wee una umri gani hadi mwenzio kajichukulia wewe ukiwa upo tuu kimya
 
Hapana ukipewa ushauri mzuri kwa faida yako lazima ufuate,nawe umenishauri vyema I will try ...Sema sikuhizi Costal flight wameturafisishia kwa shilling 85,000 tunaruka wakati Buss ni 18,000.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama unae pesa mkuu paa tu haina shida. Ila kama pesa mawazo hyo gap ya 67000 si mchezo kabsa.
 
katika kusafiri kote ni mara moja tu ndio nimewahi kukaa na mdada tena siti ya watu watatu, wanaume tupo 2 na mwanamke mmoja mi ndio nipo kati, ndio mwanzo na mwisho. Najua kuna wakaka pale Ubungo watazunguka kampuni zote mpaka apate siti moja na totoz na wapiga debe wanalijua hilo sasa kama unataka wanakupandishia dau maradufu.
 
Hapo kunachembechembe za wivu kwani wee una umri gani hadi mwenzio kajichukulia wewe ukiwa upo tuu kimya
Wivu wanini tena mkuu!!Demu simjui nimuonee wivu?nilileta uzi Kutokana na experience.Umri wangu ni kijana bado lakini sina ujana mwingi.Na kuhusu kujichukulia sikuwa interested na huyu dada. Ahsante kwakuchangia uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…