Ibilisi wa ngono safarini..

dah, nyege mbaya sana, wacha watu wazidi ungwa kwenye girid ya REA tu
 
Hii inategemea kutokana na Ntu na Ntu mkuu[emoji23][emoji23]

°•°Faith •Hope •Charity•°•
 
Wakaa backbencher mara ni wanoma sana kwa kutumia kile kinywaji pendwa cha mchungaji Lusekelo,na mara nyingi demu akijichanganya seat hii uliwa kirahisi coz lazima atapigwa redbull za kutosha na mwisho wa siku atakuunga mkono kwenye Lusekeloz
Nyie wa kupenda siti za nyuma ya dereva au madirishani ndo mnakutana na hayo mambo..

Sie wazee wa backbench ni ndoto kukaa na mrembo..ataanzaje kwa mfano maana ataishia kutapika tu kwa mrusho

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani nami nisafiri na Joketi Mwegero kwa style hiyo. Siku akiamua kuachana na ile VX na badala yake akatamani kusafiri kwa Yutong mnijulishe. Fanyeni hivyo tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…