dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
dah, nyege mbaya sana, wacha watu wazidi ungwa kwenye girid ya REA tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inategemea kutokana na Ntu na Ntu mkuu[emoji23][emoji23]Kuna nguvu gani inayosababisha abiria wa jinsia tofauti,Rika zinazo landana,wanapokuwa ktk safari(Seat za pamoja),safari ndefu(mkoa mpaka mkoa).Mwisho wake huishia Hotel au Guest house?
Nimeuliza haya kwa ninayo yaona marazote nisafiripo na Public Bus.
"Leo nilikuwa safari DSM Tanga,nimepanda Bus pale Ubungo jioni saa10 tumeondoka.Pembeni yangu(viti vya pembeni jirani) alikuwepo bint wa Age 26-30.Tumeondoka nae ubungo akiwa pekeyake,Basi tumefika Bagamoyo kabla yakukata kona alipanda kijana Me age (25-28).Akakaa na yule bint,kimnya kilipita hakuna aliyekuwa na story na mwenzie,haswa bint ndie alikuwa busy na simu yake muda wote.Jamaa yupo busy tunaangalia Move(kideo).Mambo yalianza kubadilika baada kama dk 45 tulifika pale tunachimba dawa,Dada alishuka kujisaidia,kurudi jamaa kakaa dirishani akataka kumpisha,Dada akamwambia hapana kaa tu.Hapo hapo story zikaanza,baada ya lisaa nikaona watu wanaanza egemeana...Vituko vilikuwa vingi,lakini kwaufupi mpaka tunafika stand walikuwa kama wamejuana miaka 2 kabla.Lakini Dada ndie alionekana kuwa na hamu na jamaa sana,mana alionyesha kumng'ang'ania watafute hotel.Mimi nikiwa namsubiria Dereva anifuate.,Niliona wakichukua Tax.
Ila mkononi Dada alivaa Pete nzuri sana.
Samahanini sio mwandishi mzuri na nimechoka na safari,lakini hili limenifanya niandike na usiku huu mana sio Mara yakwanza kushuhudia haya na Mimi mwenyewe nikiwa muhanga zaidi ya Mara3 nishakulaga wadada nikiwa safarini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie wa kupenda siti za nyuma ya dereva au madirishani ndo mnakutana na hayo mambo..
Sie wazee wa backbench ni ndoto kukaa na mrembo..ataanzaje kwa mfano maana ataishia kutapika tu kwa mrusho
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaMimi huwa nakaa na wadada wenye watoto wachanga,sijui gundu hili..kazi kunichafua tu na uji
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahhh majanga haya,ndio narudi jijini Leo,nimepata bahati nimekaa na Dada mrembo kibonge.Mpaka sasa hakuna zaidi ya salamu,ndio tumeanza safari sijui itakuwaje mbeleni.
Sent using Jamii Forums mobile app