Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Kuna nguvu gani inayosababisha abiria wa jinsia tofauti,Rika zinazo landana,wanapokuwa ktk safari(Seat za pamoja),safari ndefu(mkoa mpaka mkoa).Mwisho wake huishia Hotel au Guest house?
Nimeuliza haya kwa ninayo yaona marazote nisafiripo na Public Bus.
"Leo nilikuwa safari DSM .....,nimepanda Bus pale Ubungo jioni saa10 tumeondoka.Pembeni yangu(viti vya pembeni jirani) alikuwepo bint wa Age 26-30.Tumeondoka nae ubungo akiwa pekeyake,Basi tumefika ......kabla yakukata kona alipanda kijana Me age (25-28).Akakaa na yule bint,kimnya kilipita hakuna aliyekuwa na story na mwenzie,haswa bint ndie alikuwa busy na simu yake muda wote.Jamaa yupo busy tunaangalia Move(kideo).Mambo yalianza kubadilika baada kama dk 45 tulifika pale tunachimba dawa,Dada alishuka kujisaidia,kurudi jamaa kakaa dirishani akataka kumpisha,Dada akamwambia hapana kaa tu.
Hapo hapo story zikaanza,baada ya lisaa nikaona watu wanaanza egemeana...Vituko vilikuwa vingi,lakini kwaufupi mpaka tunafika stand walikuwa kama wamejuana miaka 2 kabla.Lakini Dada ndie alionekana kuwa na hamu na jamaa sana,mana alionyesha kumng'ang'ania watafute hotel.Mimi nikiwa namsubiria Dereva anifuate.,Niliona wakichukua Tax.
Ila mkononi Dada alivaa Pete nzuri sana.
Samahanini sio mwandishi mzuri na nimechoka na safari,lakini hili limenifanya niandike na usiku huu mana sio Mara yakwanza kushuhudia haya na Mimi mwenyewe nikiwa muhanga zaidi ya Mara3 nishakulaga wadada nikiwa safarini.
Sent using Jamii Forums mobile app