Ibra Da Hustler ndani ya Sober House!

Ninja after Ninja wanafeli daily noma sana Mungu amrudishie afya yake,yeap Bou Nako ni drugs free yule jamaa ni ngumu kuamini hata mmea hapandishi jamaa yuko clean mby.

acha urongo...Bou nako anakula poda kama kawa...mNako asiye kula ayo madude ni G walawala tu..ye anakula mmea
 
Hebu tuelekezeni kwa hiyo Sober ya Kigamboni tusaidie vijana hali mbaya.
 
Hebu tuelekezeni kwa hiyo Sober ya Kigamboni tusaidie vijana hali mbaya.
Napafahamu mkuu kama uko serious ni pm ntakupa namba ya mtu aliyekaribu na hapo atakuelekeza
 
acha urongo...Bou nako anakula poda kama kawa...mNako asiye kula ayo madude ni G walawala tu..ye anakula mmea

Yes i mean Gabuu(G walawala) asante kwa marekebisho nlikosea jina.
 
Wampeleke na Lord eyes jamani that dude he z too much now.
 
Hivi hili kundi na N2N bado lipo au lote lilihamia weusi
 
Asante mkuu kuna dogo hadi chuo kimemshinda na sasa hivi kapoteza kabisa!

Inaonekana haya madawa mpaka yaanze kuleta madhara inachukua mda mrefu kidogo,maana hawa majamaa wameanza siku nyingi,ila wapo madogo wa bongo fleva walioanza miaka ya juzi bado wako freshi tu mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…