Ibra Da Hustler ndani ya Sober House!

Ibra Da Hustler ndani ya Sober House!

Ninja after Ninja wanafeli daily noma sana Mungu amrudishie afya yake,yeap Bou Nako ni drugs free yule jamaa ni ngumu kuamini hata mmea hapandishi jamaa yuko clean mby.

acha urongo...Bou nako anakula poda kama kawa...mNako asiye kula ayo madude ni G walawala tu..ye anakula mmea
 
Hebu tuelekezeni kwa hiyo Sober ya Kigamboni tusaidie vijana hali mbaya.
 
Hivi hili kundi na N2N bado lipo au lote lilihamia weusi
 
Asante mkuu kuna dogo hadi chuo kimemshinda na sasa hivi kapoteza kabisa!

Inaonekana haya madawa mpaka yaanze kuleta madhara inachukua mda mrefu kidogo,maana hawa majamaa wameanza siku nyingi,ila wapo madogo wa bongo fleva walioanza miaka ya juzi bado wako freshi tu mbona
 
Back
Top Bottom