🤣🤣🤣🤣 Hiyo ndio inaniacha hoi mwisho wa siku msanii unashangaa anashukuru mashabiki badala ya kujishukuru yeyemwenyewe anajidanganya yeye alafu shukrani anampa mtu mwingineAFU MWISHO WA SIKU 1M MWEZI MZIMA😂😂😂
Msameheni nasikia alikosea akabofya kitufe cha kuziachia views, ilitakiwa ikae muda kidogoHii ni Kali aisee inawezekanaje kwenye watu 312k waliotazama wakalike watu 25 tu? na kukawa hakuna dislike hata moja wakati hata Michael Jackson mwenyewe pamoja na kuwa ni kipenzi Cha watu lakini nyimbo zake zina dislike nyingi tu.
Jambo la pili inawezekanaje watu 300k wakazama video kwa sekunde 19 tu?
Mwisho kabisa hapo unamdanganya Nani au wanajidanganya wenyewe? kwa huo mchezo wanaocheza hasara anapata Nani?
Hivi una miaka mingapi binti?Hii ni Kali aisee inawezekanaje kwenye watu 312k waliotazama wakalike watu 25 tu? na kukawa hakuna dislike hata moja wakati hata Michael Jackson mwenyewe pamoja na kuwa ni kipenzi Cha watu lakini nyimbo zake zina dislike nyingi tu.
Jambo la pili inawezekanaje watu 300k wakazama video kwa sekunde 19 tu?
Mwisho kabisa hapo unamdanganya Nani au wanajidanganya wenyewe? kwa huo mchezo wanaocheza hasara anapata Nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi una miaka mingapi binti?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa hapo wanamdanganya Nani kwanamna nyingine wanaingia Tena gharama za maroboti kwa mtindo huo utapataje faida?Konde gang na marobot ni kama samaki na maji
Mbona kama umepanic kwani wewe ni harmonize? Hapa tupo kujadili hoja ya mtoa madaHivi una miaka mingapi binti?
Chawa wa Domokaya wanahara na kutapika utadhan wana mimba changa, woiiiiiiiiiiiih
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wimbo mzuri ila hapo kwenye views kuna mazingaombwe.