Mmmh,napata ukakasi hata wa kumpa hongera huyu bwana,hata mwezi haujaisha kashavuta jiko?
Alitaka jamaa awe anafuturu kama Diamond anavyofanya kwa Zari.Ramadan bado siku 3 mzee ulitaka akafuturu wapi?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ramadan bado siku 3 mzee ulitaka akafuturu wapi?
Huyu si alifiwa na mke mwezi huu huu.... ?
WENZAKE WANAFUNGA MABAO ...YEYE ANAFUNGA NDOA! HAWA WACHEZAJI WABONGO HAWAJIELEWI KABISA. 🙂
Aisee.... But within three weeks umeshapata mchumba na kumuona, maybe ilikuwa nyumba ndogoKwani mwanaume anakaa eda?! Hata angekufa jana,kuoa leo sio kosa kwa imani yake
Anaitikia wito wa Rais wa kufwatuaMmmh,napata ukakasi hata wa kumpa hongera huyu bwana,hata mwezi haujaisha kashavuta jiko?
SijaelewaRamadan bado siku 3 mzee ulitaka akafuturu wapi?