Ibrahim Ajib mchezaji wa simba sc afunga ndoa

Ibrahim Ajib mchezaji wa simba sc afunga ndoa

WENZAKE WANAFUNGA MABAO ...YEYE ANAFUNGA NDOA! HAWA WACHEZAJI WABONGO HAWAJIELEWI KABISA. 🙂
Akili kikuyu wewe!

Omba Omba FC, hivi punde mutaondolewa jijini Dar es salaam
 
Tarehe 7/05/2017 alifiwa na mke wake kipenzi

Taazia: Ibrahim Ajib afiwa na mkewe

a0048ec89b37f2eae8747acda71fdf9b.jpg


Leo amefunga ndoa ,hatimaye amepata Mke mpya wa kumliwaza
Tarehe 7/05/2017 alifiwa na mke wake kipenzi, tarehe 24/05/2017 anaoa mke mwingine kipenzi !! Mbona hata bado hajatafakari uchungu wa kufiwa.
 
Hivi ni kweli alifiwa? Sio kwa uharaka wa namna hii kama kweli alifiwa.
 
Hata kama marehemu mkewe angekuwa yupo hai, bado nafasi ya kuoa au kuongeza Mke mwingine wa pili nafasi Alikuwa anayo, kwa Imani ya Dini yake anaruhusiwa kuoa wake wa nne, kama Uwezo wa Kuwahudumia Anao..
 
Back
Top Bottom