Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui hao yanga wawapiNaona Yanga wanaumia sana Ajib kuondoka Yanga.
Acha mapovu wewe kubali tu kwamba mlizoea kufanya manuva na hiyo ligi kuu nayo itakuwa ngumu kumeza mwaka huu.
Kama mtakuja na dhana iliyowaondoa mapema champions league ubingwa mtausikia kwa jirani.
Sasa hivi mmekuwa kama simba wa kwenye picha ambaye hang'ti ,shut up !