Ibrahim Ajibu Migomba aibukia TP Mazembe

Kagere hivi hajapata kikosi? Yupo vizuri kwa sasa japo Mimi yanga
 
Umeongea pointi sana! zahera anaiua yanga anajenga club za kwao

Huyo aji huwa anamuweka benchi ili kuaminisha watu kuwa kaisha kumbe ana lake moyoni
Apo nadhani Zahera mnamuonea maana hausiki na lolote hapo
Zahera kaja mwaka Jana kamkuta Ajibu mchezaji wa Yanga aliebakisha mwaka mmoja na amemtumia Hadi Sasa msimu unaisha, Apo anahusika vipi?
Kumbuka Yanga imejiendesha msimu mzima Bila viongozi Hadi juzi Uchaguzi ulipofanyika na hakuna mchezaji alieongezewa mkataba Wala alieachwa unamlaumu vipi hapo?
 
Yeye kama kocha anaejua wachezaji wake wote kuanzia viwango mpaka tabia, alipaswa asimame kidete kuhakikisha ajibu anaongezewa mkataba,, ila yeye ndo alkua wa kwanza kumuweka benchi bila hata sababu, yote hio kutaka kuonesha mashabiki na viongoz kuwa ajib si lolote na hata bila yeye yanga inaweza

Mwisho wa siku kampeleka kwao,,, acha achukue na 10% ya uwakala
 
Anaongezewa vipi mkataba wakati klabu haina pesa wala viongozi wa kutafuta pesa?

Mshahara tu ilikuwa tabu, Golikipa wao aligoma sababu hakumaliziwa malipo yake ya usajili na mishahara yake.

Wachezji wote hali ndio hiyo hiyo, Zehera hana kosa hapo.
 
Ahakikishe anaongelewa mkataba na nini? Wakati Yanga haikuwa na uongozi? Wachezaji walikuwa hata mishahara hawalipwi yeye Zahera ndo alikuwa anawabembeleza wacheze na wakawa wanamsikiliza , ingekuwa na kocha mwingine Yanga hata msimu isingemaliza achilia mbali kushika nafasi ya 2.
Yanga kwa Sasa ndo imepata uongozi ndo Kwanza wanashughulikia kulipa madeni ya wachezaji.
Hata uongozi wa Sasa unapaswa kuanza kulalamikiwa kuanzia msimu ujao.
Yanga ndo inaanza upya kujipanga wachezaji pekee Mali ya Yanga Ni wale wenye mikataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…