Ibrahim Ajibu Migomba aibukia TP Mazembe

Ibrahim Ajibu Migomba aibukia TP Mazembe

tukiachana na malumbano yote ajibu hakuwa mchezaji wakuwa benchi ni nani awezae kumweka ajibu benchi ni miongoni mwa mambo ambayo lazima mtu ujiulize ni ka yale ya kutompa nafasi kijana wake wa kutumainiwa kisa migomo ya maslahi, hayo ndo mambo ambayo nasema bora TFF iweke wachezaji watano (5) wa ndani, kakolanya ni bongela la kipa ila kapotezwa kwa maslahi ya mtu binafsi, mtu unatoka home unaenda kazini ila watoto hawapatui hata ada?
 
Hahaaaa. Leo hii ndio unasema hivyo Mtani wakati mwezi uliopita mlikuwa mnatutambia kwamba Ajib mnamchukua. 😀😀😀

Mazembe wamewazidi kete huko.
Watu si watakuwa wanajipigia tu sasa hivi
Maana kabakia fei toto peke yake
 
Mmepitia lini? Hamkuwagi kusema mmepitia kwa Mbwana Samatta wakati Samatta pale alinusa tu tena kwa "mkopo" baada ya Mo kuiuza Lyon kwahiyo hakuwa na budi kumtafutia Samatta timu ili kipaji chake kisikae hivi hivi! Lakini kwa wazee kama sisi, tunakumbuka kwa miongo ya karibuni ni Jangwani ndio imetoa wachezaji na kwenda kuwika nje kama ilivyo kwa Shaban Nonda na hivi sasa Simon Msuva anavyobamba huko Umangani! Boban kenda Sweden, kakosa bangi siku mbili tu, akaamua kurudi! Okwi nae kaenda SønderjyskE Fodbold, Denmark akaishia kusugua benchi tu hadi anarudi!
U naongea mambo ya kina nonda ya miaka iyo. Kati ya simba na yanga ni ipi imeuza wachezaji nje we mwenyewe umeona apo umetaja wawili umekauka ni kikushushia list ya simba si utakimbia wewe
 
U naongea mambo ya kina nonda ya miaka iyo. Kati ya simba na yanga ni ipi imeuza wachezaji nje we mwenyewe umeona apo umetaja wawili umekauka ni kikushushia list ya simba si utakimbia wewe
Na wewe taja hao wa miaka hiyo! Btw, sio kutaja wachezaji bali kutaja wachezaji wanaofanya vizuri sana huko walikoenda!!
 
Mmepitia lini? Hamkuwagi kusema mmepitia kwa Mbwana Samatta wakati Samatta pale alinusa tu tena kwa "mkopo" baada ya Mo kuiuza Lyon kwahiyo hakuwa na budi kumtafutia Samatta timu ili kipaji chake kisikae hivi hivi! Lakini kwa wazee kama sisi, tunakumbuka kwa miongo ya karibuni ni Jangwani ndio imetoa wachezaji na kwenda kuwika nje kama ilivyo kwa Shaban Nonda na hivi sasa Simon Msuva anavyobamba huko Umangani! Boban kenda Sweden, kakosa bangi siku mbili tu, akaamua kurudi! Okwi nae kaenda SønderjyskE Fodbold, Denmark akaishia kusugua benchi tu hadi anarudi!
🤪 🤪 kwa hiyo Boban alikosa BANGI ULAYA! Akarudi kuitafuta LYON,Baada ya kuikosa Lyon sasa kaipata Yanga!
 
kacheza ama katia aibu, ana tofauti gani na watford fainali kupigwa 6-0 (kwa akili zako wangeshangilia kucheza fainal) wakati ni aibu tupu
We unafikiri watford kucheza fainali sio mafanikio kwake?... Hata Lipuli kucheza fainali FA ni mafanikio.
we ugulia tu
 
Apo nadhani Zahera mnamuonea maana hausiki na lolote hapo
Zahera kaja mwaka Jana kamkuta Ajibu mchezaji wa Yanga aliebakisha mwaka mmoja na amemtumia Hadi Sasa msimu unaisha, Apo anahusika vipi?
Kumbuka Yanga imejiendesha msimu mzima Bila viongozi Hadi juzi Uchaguzi ulipofanyika na hakuna mchezaji alieongezewa mkataba Wala alieachwa unamlaumu vipi hapo?
Kweli kabisa... Kama zahera anahusika ndio sawa kabisa.
Acheni vijana wavuke boda tujenge timu nzuri ya taifa
 
Yeye kama kocha anaejua wachezaji wake wote kuanzia viwango mpaka tabia, alipaswa asimame kidete kuhakikisha ajibu anaongezewa mkataba,, ila yeye ndo alkua wa kwanza kumuweka benchi bila hata sababu, yote hio kutaka kuonesha mashabiki na viongoz kuwa ajib si lolote na hata bila yeye yanga inaweza
Mwisho wa siku kampeleka kwao,,, acha achukue na 10% ya uwakala
Acha kijana akale maisha..
 
Back
Top Bottom