Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
tukiachana na malumbano yote ajibu hakuwa mchezaji wakuwa benchi ni nani awezae kumweka ajibu benchi ni miongoni mwa mambo ambayo lazima mtu ujiulize ni ka yale ya kutompa nafasi kijana wake wa kutumainiwa kisa migomo ya maslahi, hayo ndo mambo ambayo nasema bora TFF iweke wachezaji watano (5) wa ndani, kakolanya ni bongela la kipa ila kapotezwa kwa maslahi ya mtu binafsi, mtu unatoka home unaenda kazini ila watoto hawapatui hata ada?