Ibrahim Ajibu Migomba aibukia TP Mazembe

Ibrahim Ajibu Migomba aibukia TP Mazembe

Itakuwa mmetisha kwenye Miamala sio bure Mtani. 😀😀
Labda kama NADRI HAROUB hakufikisha alichokifata kwenye ofisi ya Mo mtani... Na nyie mnahusika kula mhamala mkuu.
Ni vile tu njaa ni kali huko kwenu.
 
Wapo wengi mno tuliouza.. kwa ufupi tu.
Ochan
Samatta
Kichuya
Kazimoto
Boban
Mtoe mchezaji wa Dewj huyo kisha niambie hao wengine wanawika kwenye timu zipi! Nimekuambia, sio kutaja wachezaji wanaocheza nje ambao hata Mgambo JKT wanao, mimi nataka wachezaji wanaowika nje kama anavyowika Msuva! Huyo Kazimoto ndo yupi?! Ni yule ambae alienda Umangani akaishia kuwa mchuma tende, au Kazimoto yupi?! Huyo Ochan katua Mazembe akabaki na kazi ya kushika jezi tu za akina Samatta! Huyo Kichuya, anyway naweza kumpa muda kidogo! Boban tushamzungumzia tayari! Asingeweza kucheza sehemu ambayo ganja haipatikani kirahisi lakini mwenyewe akasingizia Sweden kodi nyingi kwahiyo mshahara ulikuwa unaishia kwenye kodi! Yaani Boban ajifanye mtaalamu wa kodi? Pumbavu!
 
Ni kweli kabisa

Ila timu zetu zingekuwa na under 19 zingekuwa hazipati shida sana

Zinatakiwa ziwe na academ kwaajili ya kukuza vipaji na kuwapandisha juu kwaajili ya kulinda timu isiteteleke pale wachezaji maslah wanapo ondoka
Kwa Tz bado sana hizo Academy ndugu. Japo tusubiri tuone huenda huko mbeleni zikawepo za kueleweka.
 
hili la Ajibu na wengine, liwape funzo viongozi wa Yanga kuwaongezea wachezaji wenye potential mikataba...mfano Fei Toto...Gadiel Michael...football is business
Hatimae yule mtaalam wa asissts za maana anyakuliwa na TP mazembe huku wanajangwani wakiambulia patupu, asajiliwa kama mchezaji huru.View attachment 1104015
 
Ujue mpaka leo sijuagi Mtani huyu Baba wa watu kawakosea nini? Sababu kila jambo lake kwenu baya.

Sisi hatuwezi kujivunia ubingwa kwa kumfunga Mtani ambaye ni mlegevu, tunataka Mtani anayetupa upinzani.

Tunapoona kocha anawahujumu wapinzani wetu hatuwezi kukaa kimya. Na naamini kuna kitu kawafanyia maana mmekuwa hamjielewi kwake.
 
Yeye kama kocha anaejua wachezaji wake wote kuanzia viwango mpaka tabia, alipaswa asimame kidete kuhakikisha ajibu anaongezewa mkataba,, ila yeye ndo alkua wa kwanza kumuweka benchi bila hata sababu, yote hio kutaka kuonesha mashabiki na viongoz kuwa ajib si lolote na hata bila yeye yanga inaweza

Mwisho wa siku kampeleka kwao,,, acha achukue na 10% ya uwakala
Mpira ni biashara kubwa inayolipa kama mchezaji akichanga karata zake vizuri, kila siku tunawaeleza wachezaji wetu waachane na mazoea ya kuishia Simba na Yanga wavuke mipaka ili waboreshe maisha yao pamoja na kuimarisha timu ya Taifa.
Kama deal la Ajib litakaa vizuri ni muendelezo wa kufungua njia kwa vijana wengine, ili tuweze kupambana na mataifa yaliyopiga hatua ni lazima timu ya Taifa ijengwe na wachezaji wanaocheza ligi za wenzetu zenye ushindani mkubwa.
Kila la kheri Ibrahim Ajib Migomba'Assist Master'
 
Ajib anaweza kuwa na umri gani kwa sasa? Kama anaenda tp ndiyo njia yake ya mafanikio sio mbaya tp level ya juu ukizingatia juzi ametoka kumchakaza mkia 4. Na hii itamuongezea cv kwa amunike
Sio chini ya 23
 
Hahaaaa. Leo hii ndio unasema hivyo Mtani wakati mwezi uliopita mlikuwa mnatutambia kwamba Ajib mnamchukua. 😀😀😀

Mazembe wamewazidi kete huko.
Ni heri lakini aondoke hapo ili Janga mpate kazi ngumu ya kuziba pengo
 
Ni kweli kabisa

Ila timu zetu zingekuwa na under 19 zingekuwa hazipati shida sana

Zinatakiwa ziwe na academ kwaajili ya kukuza vipaji na kuwapandisha juu kwaajili ya kulinda timu isiteteleke pale wachezaji maslah wanapo ondoka
Timu zote za ligi kuu zina timu za U20 ila tatizo kubwa ni gharama za kuziendesha hizi timu, hata sasa ligi ya U20 inaendelea Azam wameshafanikiwa kwenye uendeshaji wa timu za vijana!!
Mpira wa sasa watu wanahitaji matokeo hata zile timu kubwa zilizokuwa na sifa ya kuamini kwenye vijana zimeanza kuachana na falsafa hiyo!! Leo hii hata Azam fc wanamfikiria Bocco ambaye walimwona umri ushamtupa
 
Duuuh
Timu zote za ligi kuu zina timu za U20 ila tatizo kubwa ni gharama za kuziendesha hizi timu, hata sasa ligi ya U20 inaendelea Azam wameshafanikiwa kwenye uendeshaji wa timu za vijana!!
Mpira wa sasa watu wanahitaji matokeo hata zile timu kubwa zilizokuwa na sifa ya kuamini kwenye vijana zimeanza kuachana na falsafa hiyo!! Leo hii hata Azam fc wanamfikiria Bocco ambaye walimwona umri ushamtupa
 
Yeye kama kocha anaejua wachezaji wake wote kuanzia viwango mpaka tabia, alipaswa asimame kidete kuhakikisha ajibu anaongezewa mkataba,, ila yeye ndo alkua wa kwanza kumuweka benchi bila hata sababu, yote hio kutaka kuonesha mashabiki na viongoz kuwa ajib si lolote na hata bila yeye yanga inaweza

Mwisho wa siku kampeleka kwao,,, acha achukue na 10% ya uwakala
Alivyo-handle issue ya Beno Kakolanya na kumbeba Kindoki ndipo nilipochoka.
 
Back
Top Bottom