Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
ShikamooEti eeee? Basi sawa Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShikamooEti eeee? Basi sawa Mkuu
Shikamoo
Asante kwa kuipokea mama anakusalimiaNimeipokea
Sawa we Cheka tu nitafanyaje wakati nimetengwa navumilia tuNimecheka kwa sauti lol. 😀😀😀😀
Pole ndugu yangu.Sawa we Cheka tu nitafanyaje wakati nimetengwa navumilia tu
Asante ndugu yangu nahisi ujenzi wa Tanzania ya viwanda umewabana sanaPole ndugu yangu.
Acha kabisa ndugu ila tunashukuru Uzima upo.Asante ndugu yangu nahisi ujenzi wa Tanzania ya viwanda umewabana sana
Mungu katupa uzima ila naona yanga mnapitia kipindi cha mpito na kigumu kwenuAcha kabisa ndugu ila tunashukuru Uzima upo.
Acha kabisa ndugu yangu ila yanakwenda kuisha sasa kwani kikubwa kilikuwa kupata uongozi na kwakuwa wumeshapatikana nadhani mambo mazuri yanakuja.Mungu katupa uzima ila naona yanga mnapitia kipindi cha mpito na kigumu kwenu
Sawa hivi ndugu unafikiri kwa yanga ni uongozi pekee au kuna kingne cha ziada kinacho pelekea kufika hapo ilipoAcha kabisa ndugu yangu ila yanakwenda kuisha sasa kwani kikubwa kilikuwa kupata uongozi na kwakuwa wumeshapatikana nadhani mambo mazuri yanakuja.
Yanga peke yenu ndio mnasema hivyo mtani.. ila timu 19 Tunakubali mnyama katisha😀😀😀 kujiliwaza na nini Mtani wakati ni kweli ubingwa ni wa Viti Maalum.
Kwangu nakiona hicho kwani kilifanya hata wale wenye hela zao kushindwa kuwekeza kwa kukosa uongozi. Kwako unadhani kitu gani kilichofanya kufikia hapo?Sawa hivi ndugu unafikiri kwa yanga ni uongozi pekee au kuna kingne cha ziada kinacho pelekea kufika hapo ilipo
Ulivyo eleza ndugu ni sahihi ila wanatakiwa kuboresha baadhi ya mambo ya kiutendaji na mwingiliano wa kimadarakaKwangu nakiona hicho kwani kilifanya hata wenye hela zao kushindwa kuwekeza kwa kukosa uongozi. Kwako unadhani kitu gani kilichofanya kufikia hapo?
Kumbe Lyon ndio wamemuuza kwa TP MAZEMBE.?.. Leo ndio nakubali kweli shetani ni mwafrika.Kumbe ilimsajiri yule? Si alipelekwa na Mo baada ya kuiuza Lyon Sports! Sasa ili kuhakikisha kipaji cha Mbwana kinaendelea kufanya kazi, ndo akampeleka Simba!
Itakuwa mmetisha kwenye Miamala sio bure Mtani. 😀😀Yanga peke yenu ndio mnasema hivyo mtani.. ila timu 19 Tunakubali mnyama katisha
Hamkosagi sababu mkuu?
Wapo wengi mno tuliouza.. kwa ufupi tu.Over the past 25 years, nimekutajia wawili! Wewe nitajie mmoja TU!
Akaamua kurudi Tanzania anakoweza kuipata bangi kila anapoitaka!🤪 🤪 kwa hiyo Boban alikosa BANGI ULAYA! Akarudi kuitafuta LYON,Baada ya kuikosa Lyon sasa kaipata Yanga!
Yah! Na hicho ndio tunakitaka japo kwa hali iliyopo sasa maboresho yake ni ya muda mrefu kidogo ili timu ipate kukaa sawa.Ulivyo eleza ndugu ni sahihi ila wanatakiwa kuboresha baadhi ya mambo ya kiutendaji na mwingiliano wa kimadaraka
Ni kweli kabisaYah! Na hicho ndio tunakitaka japo kwa hali iliyopo sasa maboresho yake ni ya muda mrefu kidogo ili timu ipate kukaa sawa.