Ibrahim Ajibu Migomba aibukia TP Mazembe

Ibrahim Ajibu Migomba aibukia TP Mazembe

Mbona kina Ndemla kila siku wanafeli majaribio? Kuwa mkweli tu kuwa Ajibu kaonekana akiwa Yanga! Hatujashiriki mashindano ya kimataifa lakini wachezaji wetu bado wanaonekana, je tungeshiriki ingekuwaje?
Simba hatuuzi tofauti na Kichuya aliyesepa mapema, Hata Banda ametoka hapa
 
Anaongezewa vipi mkataba wakati klabu haina pesa wala viongozi wa kutafuta pesa?

Mshahara tu ilikuwa tabu, Golikipa wao aligoma sababu hakumaliziwa malipo yake ya usajili na mishahara yake.

Wachezji wote hali ndio hiyo hiyo, Zehera hana kosa hapo.

Zahera ni wa kumpongeza alifadhili timu mpaka imemaliza ligi. Sasa hivi kaongea na mwenyekiti kwamba auze wachezaji alipe deni lake.
Ndio maana anawaswaga yeye mwenyewe kuelekea kwenye magulio.
 
Na wewe taja hao wa miaka hiyo! Btw, sio kutaja wachezaji bali kutaja wachezaji wanaofanya vizuri sana huko walikoenda!!
Wewe ndio taja wengine kama wapo... Au Msuva tu basi wameisha ili utajiwe wa simba kama wote
 
Mmepitia lini? Hamkuwagi kusema mmepitia kwa Mbwana Samatta wakati Samatta pale alinusa tu tena kwa "mkopo" baada ya Mo kuiuza Lyon kwahiyo hakuwa na budi kumtafutia Samatta timu ili kipaji chake kisikae hivi hivi! Lakini kwa wazee kama sisi, tunakumbuka kwa miongo ya karibuni ni Jangwani ndio imetoa wachezaji na kwenda kuwika nje kama ilivyo kwa Shaban Nonda na hivi sasa Simon Msuva anavyobamba huko Umangani! Boban kenda Sweden, kakosa bangi siku mbili tu, akaamua kurudi! Okwi nae kaenda SønderjyskE Fodbold, Denmark akaishia kusugua benchi tu hadi anarudi!
Samatta alikuwa simba kwa mkopo?..
 
Ngoja waje waamke wajikute wako daraja la pili halafu Yanga yuko kwenye kamati ya vyombo halafu simuoni yuko wapi? Azam yeye yuko kwenye kamati ya vinywaji nimemuona hapa na ndugu yake Mbao ambaye yuko upande wa Kamati kuu ya ukusanyaji kuni ili Mnyama asheherekee ubingwa. Wengine wanajijua
 
Back
Top Bottom