Ibrahim ajibu na dunia ya peke yake!

Kwa sasa Simba ni kama Ulaya kwa wachezaji wa ligi yetu. Wanafikiria kuja Simba(Ulaya). Wachezaji wakali wote hapa bongo wanapaswa kuwa Simba,ndio airport ya kuelekea mbele zaidi
Hilo ilibidi ulianzishie uzi wake
Hapa tunajadili jinsi gani wachezaji wetu wanavyoweza kujikwamua kiuchumi kupitia soka lao na sio hizo ishu unazoingiza !
 
Akiwa Simba,kabla hajaenda Yanga,Ajib aliwahi kufanya majaribio timu moja Egypt...Hivi alifeli yale majaribio?
 
Anachofanya ajibu ndiyo reflection ya wabongo karibia wote huwa tunalizika na maendeleo kiduchu tunayopata nadhani ndivyo tulivyoumba hasilaumiwe ajibu, unamlaumu ajibu badala ya kuilaumu yanga kuwa ombaomba toka 1935 ilipoanzishwa (yanga ni case study tu nisije nikauwawa)
 
Ndo nilisema hiyo ilikuwa zamani sio sasa! Je bado anacheza??
Cha muhimu zaidi tunachoangalia hapa je katika muda wote huo alivuna vya kutosha??

kwa kipindi chake YES. tunaweza kusema alibahatika kupata mafanikio! he had a decorated career!
 
Ajibu kama ana akili timamu, bora akaendelea tu kuvumilia maisha ndani ya Yanga. Akiona maisha magumu, aamue tu kutimkia Azam ila siyo Simba. Akirudi Simba ataishia tu kwenye ile kazi yake iliyomkimbiza pale awali ya kuchoma mahindi hadi kuamua kukimbilia Yanga.

Atamuweka benchi nani pale simba! Huyo Tuyisenge aliyesajiliwa au Medd Kagere? ajifunze kwa Adam Salamba na wenzake kwa namna wanavyosugua benchi. Labda kama anataka tu maisha mazuri huko simba.
 
Kama ni mvivu wa mazoezi hawezi kufiti kwenye soka ya ulaya abaki hapa hapa bongo. Soka ya ulaya ni akili na hard work ( strength ,speed na stamina).
 
Pale Jangwani hajapa mpinzani siku akirudi Msimbazi na kusugua benchi lazima amfuate jezi no. 8 ya Msimbazi kuuliza vp mzee ulikuwa benchi tukajua umeisha lakini hivi karibuni unafanya vitu wanamsimbazi wanakupigia makofi na jibu litakuwa moja tu... HARD WORKING... Kupata nafasi Msimbazi lazima ujitume sio kwa kumfata yule Mzee wa jangwani akupeleke Tandele kwa Mzee wa mizizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeeleweka mkuu
 
Mzee kinachoangaliwa ni maslahi! maana umri haukusubiri na kama ulaya hana mpango wa kwenda afanye nini?? Yanga wenyewe hawaeleweki
 
Nakushauri tuu
Mpira sio fani yako mzee!.
Kwa sasa hivi nani mwenye assist nyingi hapo Tpl??
Tuachane na hilo. jiulize kwanini bosi wenu MO anamlilia ajibu toka msimu uliopita??
Hata manara na domo lake lote lile anamkubali ajibu!. Sijaona Tz hii mtu anyemchukia ajibu!
Hata muda ni shahidi mzuri
 
Kama ni mvivu wa mazoezi hawezi kufiti kwenye soka ya ulaya abaki hapa hapa bongo. Soka ya ulaya ni akili na hard work ( strength ,speed na stamina).
Sio kweli! kuhusu swala la mazoezi
Wanafanyaga mazoezi magumu kwenye pre season yaani katikati ya msimu unapokaribia kuanza. Ligi ikianza wanafanyaga mazoezi simple tuu
 
kagere na nyoni
bro ..
Miaka 45 kwa soka ni mingi mnoo. pia ilikuwa zamani sio sasa!
Wengi wanacheza ligi ambazo sio za ushindani!
Mtaje basi mchezaji mwenye miaka 45 anayecheza ligi ya ushindani??
 
Kukosa mwongozo na kutokuwa na watu sahihi ktk kumwongoza
 
bro ..
Miaka 45 kwa soka ni mingi mnoo. pia ilikuwa zamani sio sasa!
Wengi wanacheza ligi ambazo sio za ushindani!
Mtaje basi mchezaji mwenye miaka 45 anayecheza ligi ya ushindani??
Ni Shabani Nditi wa Mtibwa Sugar
 
MO anataka Hati za jengo la club
 
Hivi Hawa wachezaji wetu Wana YouTube account? ?Kuna agent Mmorocco aliniuliza sijui nianzie wapi..waarabu wamedata na Msuva..Kuna mtu anajuwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…