Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Katika sajili ambazo Yanga walizifanya na scouting ya maana ni uyu mzanzibari Ibrahim Bacca, ni beki ambaye anastahili maua yake
Anajua kukaba mshambuliaji wa aina yeyote yule, anatumia akili zinapohitajika na anatumia nguvu pale inapoitajika
Namuona Nadir Haroub Canavaro ndani ya Bacca, yule mshambuliaji hatari wa malumo Ranga chivaviro kawekwa mfukoni na bwana mdogo mpaka akapanic, dogo ni king'ang'anizi anaakikisha anakukaba mpaka kivuli chako
Ranga Chivaviro atamuota leo uyu dogo, kapiga kazi ya maana leo na kwangu mimi binafsi ndiye Man of the match, tokea Bacca aanze kuchezeshwa kwenye safu ya ulinzi ya yanga kuna kitu kikubwa kakiongeza, na Yanga aijaruhusu goli tokea asimame pale yeye na mwamnyeto, kwakweli yanga ilipata quality ya defender apewe pongezi zake🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏