🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹💪💪💪 Bacca ametisha sana! Maua kama yote now now! Big up Bacca unakaba miguu, kichwa bukta, mikono, kivuli hadi jamaa wanaomba poo!! Mo akija basi tuambie Huku utopoloni usifanye kama Feisal. Kaharibu sana!
Huu ukuta WA Yanga wa Sasa chini ya Nondo na Bacca Huku Dickson Job na Lomalisa au Kibwana na Djuma Soja ya Pemba , Sasa umefikia Kiwango sawa kabisa au kuzidi ule ukuta WA Italia wa kina Maldini, Nesta na wengine!!
Tukumbuke Leo Yanga wamepewa TSH 20 million za Bimkubwa Samia au ni zaidi? , Makolo washasahau hizo Mawe maana waliumaliza mwendo long fk ago!! Poleni sana Mbumbumbu japo makombe yenu ya kufa kiume utopoloni tunayaonea wivu!
Haya wajumbe wa CAF Toka Mbumbumbu kolokoloni fc njooni Sasa mseme kushinda nusu nusu fainali Shirikisho cup ni sawa na timu iliyoshinda hatua ya awali club bingwa!! Mnatia huruma sana Makolo!!
Kweli fungu la kukosa ni aibu sana, msimbazi imeloa imelooooa, yaani hata kombe la ndondo mmeshindwa kubeba mwaka huu? bilioni 800 za MBet ziko wapi? mmegawana viongozi?