Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
Timu gani kwani kacheza nazo mzee... Majimaji ya S.A ile.Mbona hii comment yako ni kama umekabwa na kitu kigumu kooni.
Huyu mtoto anastahili hizi sifa ni beki aliekamilika anaweza cheza mipira ya juu kwa asilimia mia moja.
Anauwezo wa kucheza mipira ya chini anapiga tackling za akili sana kifupi bwana mdogo ni beki hasa.
Duh! Mambo ya Mwakani tena ....!!? Shimbwa mna hali tete sana ...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baade mtawakataa wote hao mwakani.
Hata kama ingekua kipanga dogo anajua na anajua tena.Timu gani kwani kacheza nazo mzee... Majimaji ya S.A ile.
Hayo yako UTO kwanini hujiamini na unachofanya...Duh! Mambo ya Mwakani tena ....!!? Shimbwa mna hali tete sana ...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
UTO fc ulimbukeni unawasumbua sana... Sisi tulicheza na kaka zao Kaizer chiefs wakala 3-0 hapa..Hata kama ingekua kipanga dogo anajua na anajua tena.
Mlivyowapiga 3 hatimae mkafuzu semi finalUTO fc ulimbukeni unawasumbua sana... Sisi tulicheza na kaka zao Kaizer chiefs wakala 3-0 hapa..
AahaaaaMlivyowapiga 3 hatimae mkafuzu semi final
Kwahiyo nyie mlivyowapiga Leo hizo 2 tayar mshafuzu kwenda fainal?Mlivyowapiga 3 hatimae mkafuzu semi final
Naona umedandia train kwa mbele ungemsoma huyo niliyemquote ungeelewa kwa vilevile wote ni makolo hamuwezi kuelewaKwahiyo nyie mlivyowapiga Leo hizo 2 tayar mshafuzu kwenda fainal?
Au umeujua Leo mpira .
Mpira una matokeo ya kikatili sana ,tamba Hadi filimbi ya mwisho ipulizwe .
Hii game Bado mbichi ,tutarud tena hapa kukumbushana.
Nazungumzia kuwapiga kama tulivyokupiga wewe.... Sisi tunakuona wewe kibonde tumekupiga goli 2 kumbe huko shirikisho kuna Vibonde Zaidi yako duh...!Mlivyowapiga 3 hatimae mkafuzu semi final
Mwaka huu mna makombe mengi pamoja ilo kombe mlilotufunga 2-0Nazungumzia kuwapiga kama tulivyokupiga wewe.... Sisi tunakuona wewe kibonde tumekupiga goli 2 kumbe huko shirikisho kuna Vibonde Zaidi yako duh...!
Huyu dogo alijikuta yeye mjuvi eti kuliko kina Lunyamila, kina Ngasa,kina Ngoma, kina Tambwe,kina Ngoma, kina Kiiza, kina Haaland Mayele.lile jina la ZANZIBAR FINEST lipokonywe kwa yule mwehu akili mbili,apewe huyu jamaa
Umeniwahi mkuu, sijui kwanini ameogopa kusema ukweli huu.Huyu dogo ni zaidi ya cannavaro coz hyu dogo anatumia akili zaidi sio km cannavaro alikuwa beki wa butua butua
we love him BACCA๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐ช๐ช๐ช Bacca ametisha sana! Maua kama yote now now! Big up Bacca unakaba miguu, kichwa bukta, mikono, kivuli hadi jamaa wanaomba poo!! Mo akija basi tuambie Huku utopoloni usifanye kama Feisal. Kaharibu sana!
Huu ukuta WA Yanga wa Sasa chini ya Nondo na Bacca Huku Dickson Job na Lomalisa au Kibwana na Djuma Soja ya Pemba , Sasa umefikia Kiwango sawa kabisa au kuzidi ule ukuta WA Italia wa kina Maldini, Nesta na wengine!!
Tukumbuke Leo Yanga wamepewa TSH 20 million za Bimkubwa Samia au ni zaidi? , Makolo washasahau hizo Mawe maana waliumaliza mwendo long fk ago!! Poleni sana Mbumbumbu japo makombe yenu ya kufa kiume utopoloni tunayaonea wivu!
Haya wajumbe wa CAF Toka Mbumbumbu kolokoloni fc njooni Sasa mseme kushinda nusu nusu fainali Shirikisho cup ni sawa na timu iliyoshinda hatua ya awali club bingwa!! Mnatia huruma sana Makolo!!
Kweli fungu la kukosa ni aibu sana, msimbazi imeloa imelooooa, yaani hata kombe la ndondo mmeshindwa kubeba mwaka huu? bilioni 800 za MBet ziko wapi? mmegawana viongozi?