Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,929 Feb 1, 2021 #21 BETONY said: Judges wote walimpa ushindi na ni kweli alistahili, but tofauti ya point ilikuwa ndogo, wakati Ibra Class ali dominate game mwanzo mwisho Click to expand... 🤣Hata kila judge angalimpa point nyingi (big margin) Ibra Class lakini bado matokeo yangalikuwa ni hayohayo (Ananimous decision). Kwani katika ngumi kuna matokeo manne:- 1--- split decision, 2--Ananimous decision, 3-- knockout, 4--Technical knockout.
BETONY said: Judges wote walimpa ushindi na ni kweli alistahili, but tofauti ya point ilikuwa ndogo, wakati Ibra Class ali dominate game mwanzo mwisho Click to expand... 🤣Hata kila judge angalimpa point nyingi (big margin) Ibra Class lakini bado matokeo yangalikuwa ni hayohayo (Ananimous decision). Kwani katika ngumi kuna matokeo manne:- 1--- split decision, 2--Ananimous decision, 3-- knockout, 4--Technical knockout.
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,695 Reaction score 20,633 Feb 1, 2021 #22 Ukitoa uzito na ujinga kibao dogo ananipigia mwakinyo.
MR BINGO JF-Expert Member Joined Feb 12, 2016 Posts 1,164 Reaction score 2,500 Feb 1, 2021 #23 kurlzawa said: Ukitoa uzito na ujinga kibao dogo ananipigia mwakinyo. Click to expand... Wako weight moja???
kurlzawa said: Ukitoa uzito na ujinga kibao dogo ananipigia mwakinyo. Click to expand... Wako weight moja???