Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Judges wote walimpa ushindi na ni kweli alistahili, but tofauti ya point ilikuwa ndogo, wakati Ibra Class ali dominate game mwanzo mwisho
š¤£Hata kila judge angalimpa point nyingi (big margin) Ibra Class lakini bado matokeo yangalikuwa ni hayohayo (Ananimous decision).
Kwani katika ngumi kuna matokeo manne:- 1--- split decision, 2--Ananimous decision, 3-- knockout, 4--Technical knockout.