Ibrahim Jeremiah achukua fomu ya kuwania nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM kupitia Viti 15 vya Tanzania Bara

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
BREAKING

Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya Kisiasa na Kiuchumi na aliyekuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) bwana Ibrahim Jeremiah achukua fomu ya kuwania nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi kupitia Viti 15 vya Tanzania Bara,

Ibrahim Jeremiah amechukua fomu hiyo akiwa ameambatana na familia yake akiwemo mkewe na watoto wake,

Kiongozi huyo alipoulizwa kuhusu kuchukua fomu hiyo alijibu kwa kifupi, namnukuu

"Chama kimeita Askari wake,
Nimefika kuitikia wito"

Jeremiah ni miongoni mwa Vijana wa CCM wenye Umahiri mkubwa katika kuzungumza!
 

Attachments

  • IMG-20221004-WA0022(1).jpg
    87.5 KB · Views: 8
Sasa watoto na MKE wa kazi Gani?
 
"Umahili katika kuzungumza"ndio nini?ningesikia ni mfanyabishara,mkulima mkubwa,dokta,injinia,academician,au amefundisha nini,kumbe ni kuzungumza tu,kama kusema nyookeni nao
 
Kwa ustawi ni vyema kuruhusu vyama vyote vicheze katika open ground.
 
Kwenye vikao vya kampeni wapiga kura wako utawapa posho, je sisi humu mtandaoni utatupa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…